Sijaanza leo kujiuliza, hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada, tunawezaje kutambua taarifa zake. Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea...
Nimekumbuka Mara yangu ya kwanza kulewa pombe niliona Cha Moto aisee!
Kipindi kile nilikuwa ndo kwanza nimetimiza miaka 18 nikandaa bonge la party nikawaita marafiki zangu wake wanisaidie ku-...
Habarini wadau...juzi kati nilipita chuoni tumaini university mwenge campus hapa dsm...aiseee nilikutana na mtoto mkali wa kinyarwanda ana weupe flanhv yupo diploma na nilipoulizia kwa wadau...
Hivi kuna siri gani katika ndoa, mara nyingi watu wakishaingia katika ndoa wanatoka vitambi vya ajabu ajabu?
Sababu ni ipi labda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
Nimebahatika kuoa, ndoa ina miaka 8, anyway waweza waza ni hizi zenu za bongofleva, yangu ni classic. Huwa nafurahi mke wangu anavyomuandaa mwanangu kwenda shule, Iko hivi.
Nikiwepo, ikifika saa...
Bad boys
Dog Man X (DMX)
Mr. Devil
Young Killer
Bad man
Shetani
Chizi maarifa
Angalia ID za watu humu utashangaa why NEGATIVITY.
NYUZI ZA HOVYO NDIO ZINACHANGAMKIWA
[emoji34] [emoji35][emoji35]...
Uko katikati ya mawazo ya kulijenga na kulibomoa kasiri ambalo lipo tayari kwenye bajeti. Au pengine upo katikati ya lindi kubwa la mawazo juu ya lini utapata dili ili angalau uweze kulipia kodi...
Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga.
Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe...
Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo.
1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu.
Kuna watu...
Unasikiliza ngoma ipi kwa Sasa
Playlist yako Ina nyimbo gani..
Nasikiliza
My playlist.
2pac-Life goes on
Ghetto remix Akon.2pac..The notorious Big
Eminem fall
Eminem guts over fear
Eminem-toy...
Mungu wa mbinguni awabariki sana katika Juma hili tunaloenda kuhitimisha mfungo wa Kwaresma na pia kuupokea Ufufuko wake Bwana wetu Yesu Kristo.
Nawatakia Hitimisho la Kwaresma lenye kumpendeza...
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh.
Man nilipata moto wa...
Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia?
Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe...
Mkitoka church njooni mle nyama ya Mbuzi na bia, kama mmefunga njooni mnunue nyama za mbuzi za kula na familia jioni.
Wale makobe kama mimi tukutane hapa
Uzi tayari,
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.