Wakuu habari za mchana,
Heri ya pasaka kwa Wakristo. Kwa ndugu zangu waislamu poleni na swaumu.
Niende kwenye mada husika. Watu hunitizama kama beureucrat, usalama wa Taifa, askari wa PGO au mtu...
Japo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu
Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki...
Kwa mfano ukiambiwa uinuke uanze kutembea kwa miguu mpaka pale utakapopigiwa simu na Mpenzi wako,je were unaweza ukatembea kwa umbali gani?
Mimi ninaweza nikatembea kutoka Hapa Nairobi Hadi...
Kama kichwa cha thread kinavyosema juzi nilipoteza simu yangu kipenzi baada ya mtu mzima kuwekwa chini!
Sasa mim nataka kujifua ili nisikalishwe chini lakini niwakalishe chini.
Kwa sasa naomba...
Mhaya Koku Mutabirwa amejenga ukumbi mkubwa wa kisasa wa sherehe jijini Dar es Salaam, akalipa jina la Nyarubanja Modern Function Hall. Akagawa maegesho ya magari (car park) kama ifuatavyo...
Each year your birthday reminds me,
That I really want to say,
I’m very glad that i have known you ..
I look forward to spend every birthday with you,
Because you are a good thing...
Nasikia Mbezi kuna sehemu inaitwa Msigani, Kwa God na Mbezi Luxury,
Kuna Kiwanja gani kingine maeneo ya Mbezi maana week kesho kutwa napata likizo ya kuwa Tanzania kwa miezi 2.
Tupeane...
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari...
Kwa tuliobahatika kuhenya JKT enzi hizo,embu tujikumbushe top ten za disco la enzi hizo. Naanza:
Kule kwa chinova,
kule kule,
kule kwa chinoova,
tunasonga na kuzimbabwe,
masika na toye,toyela...
Tueleze ile Siku Ulilazimika kukesha Nyumbani,Njiani,Kazini Au sehemu yeyote bila matarajio Yaani Ulijikuta tu Unatoboa Upende usipende. Namaanisha Jicho- Jicho yaani hukulala kabisaaa!!
.Mara ya...
Poor Government policy.
Poor knowledge amoung of leaders.
Lack of knowledge to their people.
Women are used for pleasure.
Lack of capital.
lete nyingine unazojua.
Alafu Discuss
1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua...
Hilo nimeona halina ubishi, wanaume wengi uingia kingi na kudhani kapata mwananke mrembo ama kupitia Badoo,Facebook ama instagram. Na hiyo ni kwa sababu ya picha lakin akikutana naye kituko
Tumbo...
Ujio wa smartphones imekuja kuua soko la Internet cafe.
Uber imekuja kuua soko la taxi driver
Mitandao ya kijamii imekuja kuua soko la magazeti
Iphones imeua soko la Nokia
Naanza na mimi...
Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku...
Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.