Tuachane na kizungu maana wengi tutashindwa kujieleza.....
JF watu tunafanganya saana....wengine huenda mbali na kuvaa uhusika usio wao hasa PM....
Utakuta mtu anamuimbisha mdada PM atamtajia...
Kuna huyu mdada wa kuitwa genecandy kwanza nahisi atakuwa ana rangi flani ya kisomali Kama chura wa kwetu kule singidani/kondoa au Kama masalia ya kiarabu ya lindi A.Nampenda Sana kilichovunitia...
Heshima kwenu wakuu,
Mimi nashangaa, unakuta mdada anatoka Arusha anaenda Mwanza kukaa siku nne au wiki moja, lakini atabeba begi kubwa ukipishana naye utafikiri anaenda Mbinguni na Mizigo yake...
Baada ya kuambiwa alicheka sana alafu akatikisa kichwa, akasema mpelekee na Mama Janeth aangaliye. Mama Janeth kakaa nayo anacheka.
Magufuli akasema hebu rudisha huku bwana, na ninyi wanawake...
Kwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...
Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.
Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke...
Wasalaaam!
Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.
Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na...
Na funga ndoa na mwanajami forum miezi ya karibuni. Njoo mishuhudie hatimae kijana anafungwa mazima. Intake.
Humu alitokea jamaa akasema ni PM . Kuongea mbili tatu akanipa ndugu yake. Kuyajenga...
Kuna uwezekano baada ya miaka mitano Tanzania itakuja kuwa super power sio Africa tu bali duniani kote.
Nchi kama China, USA, Russia zimeanza kuiangalia Tanzania kwa jicho la tatu hii imekuja...
jamani mie leo nimekumbuka enzi za skauti na chipukizi (zamani kila mwanafunzi ilibidi apitie chipukizi) nimekumbuka zile nyimbo na mazoezi tuliyokuwa tukifanya nimezikumbuka pia hizi
1...
Habari WanaJF,
Poleni na majukumu ya maisha.
Kumradhi kama kuna uzi ulishawahi kuwepo wenye maudhui kama kichwa cha habari kinavyosema.
Emb tukumbushe mambo/vitu/mitindo yaliyokuwa yakitia...
Salaam wakuu,
Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk.
Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF...
Ile unatoka zako chuo unarudi nyumbani mwezi wa kwanza unapita kuna vitu vinaanza kutokea.
1. Usb yako inakufa
2. Sendo zinakatika
3. Jeans yako pendwa inachanika
4. Cadet zinapauka
5. Unaachwa na...
Si Leo nimeota Beyonce kagombana na jayze kisa Mimi chochote kitu 🤣
Karuka ukuta Zaid ule wa mererani kuja kwenye geto langu.
kaniahidi music anaacha kwa ajili yangu aje tukalime korosho...
Habari,
Husika na kichwa cha habari,
Huu uzi ni maalumu kwa kupeana maujanja ili kujua maeneo ya kula bata ndani na nje ya nchi na vituko vya bata batani.
Pia kuelezana vinywaji, vyakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.