Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh...
Wadau tumeona nyuzi mbalimbali zikitoa ushauri mzuri huu uzi ni kwa ajili ya ushauri usio na Faida tu , Nitaanza [emoji3][emoji3]
"Kama hana hela piga chini"
" Wewe ukishindwa acha tu , sio...
Kwa hizi gharama za Mafuta hii gari used namba A Mark two lazima nisingetoboa .
Hakika niliona Mbali.
Mungu Ni Mwema hi hela naongezea mtaji sitaki tena gari.
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache.
Nikiwa hatua chache kufika...
Tafadhali haimaanishi kudharau,au kashfa yoyote kwa Mama yetu mpendwa,kwanza yeye ana ngozi ngumu,Embu pitia comments za anaowaongoza na anachowapigania wanavyofikiri,ufurahie siku yako..
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni...
Wakuuuu poleni na majukum,
Kiukweli huwa nikija dar mapumziko ya kikaz hupenda kujirusha viwanja mbali mbali .
Lakini samaki samaki masaki wazeee weekend kuna ps kali zinakula bata tupeane...
Binadamu ameumbwa na woga, Kila mtu ana hofu na kitu fulani, Hapa chini ni orodha ya aina tofauti tofauti za HOFU (phobia). Ipitie kisha utuambie kama umeipata yako.
. Venustraphobia - Uoga wa...
Wadau Eid Mubarak
Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila...
JF imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk.
Haya ndio makundi ya J na karibu kila mtu yupo kundi tajwa na tabia zake kama...
Mimi kama msukule mzembe siku zote mtoto wa kike akiniambia i love you lazima nimpe laki 1 sijui nina ugonjwa gani.
Yeyote anaejua dawa ya kuacha huo ugonjwa anisaidie maana unanirudisha nyuma...
Polisi katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh ametoweka baada ya madai kwamba alimbaka msichana wa miaka 13 ambaye alienda polisi kuripoti kwamba alibakwa na genge la vijana.
Kesi ya...
Kuna ka hali fulani ka wasiwasi huwa kananipata....ambacho deeply hakuna sababu ya msingi ya wewe kufanya hivyo....
Mambo yenyewe ni kama yafuatayo...
1. Hata niwe na simu inakaa na charge muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.