hii siku sitaisahau kwani ilijaa vituko vya kila aina, kwanza nilikuwa nafanya mizunguko isiyo ya lazima si unajua tena kipya kinyemi du nikamaliza akiba yangu yote kwa kuweka mafuta nilizunguka...
Kwa wahenga wa JF hawata jiuliza maswali mengi wakusikia hayamajina.
Chabruma, Lizaboni, Mcubic, Msalan.
Hawa watu walikuwa ni wapiganaji wa kweli wa CCM, ukimuondoa Mcubic ambaye alikuwa upande...
Umri sio miaka... Leo ni ile siku maalum sana ambapo mrembo bibie NAKWEDE kwa ushirikiano wa watu watatu aliletwa katika ulimwengu huu
Wa kwanza ni Mungu baba huyu alitia uhai na kuruhusu uumbwaji...
Tamthilia imekosa uhalisia na mvuto Ila Kuna huyu dada Clara naskia anaitwa Esther Daruwesh ni Moto wakuotea mbali anajua mpaka anajua Tena
Halafu mzuri nafkiri bongo movie yote hakuna...
Stori yangu inaanz mbali sanaaaa kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi
Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana...
Happy birthday to me [emoji53][emoji53] miaka 50 [emoji318] natimiza now zawadi zenu mniletee PM ila kusherekea b-day bila kwichikwichi ni sawa na Mei mosi tu [emoji39][emoji39]
Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana...
Usikubali kutoa jibu pekeako😅😅😅
mi nasema nisingewapelekea bana si nimeshakula mboko zao!!
Hii hela kesho yake naenda kuila na Joanah kimya kimya mtaa pili
Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
JF Mahusiano👋
Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.
Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?
Nina Jambo langu...
Niaje wazeiyaaah...
EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...
Kumbe aisee mikoani ndio balaa...
Ndio umekuja kuposwa na familia yenyewe ndio Kama hiyo unavyoiona.
Mume mwijaku.
Dada ake nyawana wa kwenye mama kimbo.
Kaka ake Steve nyerere.
Shangazi yake riyama Ali dada wa michambo.
Wajomba...
Ubachela huu noma, takea lini sijui nina nguo chafu nasemea tu kufua,
Leo mida hii nipo nazichek tu nguo chafu hapa dah! Ila leo itabidi tu nifue
Mabachela wenzangu muna-survive vipi na usafi...
Ukiachana na walinzi wetu wa kilinge....kama akina1...........na 2.........
Au wazee wetu wa kupiga ban kama akina.......1.......2........3......
Au wale wengine wa Uzi wetu pendwa ule1...
Habari za pande zote.
Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town)
Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo??
Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.