Great thinker
Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.?
Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea
Miaka kama...
Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari.
Naenda Zang...
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani?
Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu
Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu!
Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi...
Habari zenu wazeiya ,nilikuwa busy kidogo ,
Juzi nimepata fursa ya kutembelea Tanzania house in Sweden, na kumuona mzee mwenye Busara, Dr wilbroad slaa,
Kusema kweli ni mtu wa watu na ana upendo...
Habari wakuu natumaini hamjambo
Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu
1...
hahahahahahahaha hii iliniacha hooi bin taabani
MKURYA MMOJA ALISIKIKA AKISEMA:
AROO! HAYA MAJITU YANASHINDWA KUBIKIRI FIZURI, MAWASO YAO YOTE YAKO KWENYE KURA KIBORO NA UCHI.
akiwa na...
Siku ya juma 3 kuna missed call iliingia kwenye simu yangu majira ya sa 3 asubuhi
Nikaituma sms akajibu ni mimi mwanafunzi nilikua nataka kujua kama upo hai Corona umesalimika. Swali la kwanza...
Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari.
Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya...
Intro:
Hakuna Shaka Jamii forums ni mtandao mkubwa sn hapa nyumbani Tz .Kwa siku unatembelewa na watu wengi Sana,wengine wakiwa ni guest users
Ukiwa humu ndani unasoma au kuchangia nyuzi...
Nilitoka Kijijini kwetu nikiwa na Miaka 18, nikiwa na Miaka 20 nikaenda kuonga jino General hospital Dodoma. Baada ya kungoa nikaandikiwa amoxicillin.. nikawa nafungua vile virangi mbili...
Ipo hivi unakutana na demu unamtongoza unampa maneno ya kibao ya kuwa unampenda mara paap anakuomba smartphone yako kuna vitu atakagua kama kweli unampenda au jau tu.
Kwahyo Situation utampa simu...
Bila shaka hamjambo.
Kabla tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kutupatia uhai na pumzi yake bado tungalipo.
Bado dunia inahangaika na covid-19 ,Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ,japo sisi tunapambana...
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha...
Wakuu habari zenu.
Ulinzi wa taifa hili ni la wananchi wote na napenda kuishi kwa amani ndani ya nchi yangu.
Mimi ni kijana mpole na mbambe ninapochokozwa na huwa sipendi uonevu kutokana na...
Habari ndugu zangu , leo nimeona nianzishe uzi huu wa vunja mbavu lengo ni kuchangamsha akili pale unapoona haupo sawa.
Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako...
Usiku wa kuamkia leo mida ya saa 6 hivi niliangukiwa na bahati ya mtende baada ya January kufanya yake.
Hapa mtaani Kuna pisi moja Kali kutoka kwa mzee PK inafundisha lugha za kigeni kwenye shule...
Tafuta hela uache kulala na mtungi wa gesi Kama upo ICU
Tafuta hela hata maarage yanapikwa kwa gesi
Tafuta hela uache kununua nguo kwa kuinama
Tafuta hela wewe hakuna mwanamke anaechoka usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.