Wanajukwaa naomba kusaidiwa kuchumbia mwanamke anaefanya huduma sehemu tajwa vipi anahitaji kuchunguzwa zaidi na keshasema ukweni yeye ni bikra na yupo tayari kuwa mke.
Mawazo yenu tafadhali
Binafsi nilimaliza kidato cha 4 pale The Highlands mwaka 1984 na tukio ninalolikumbuka ni mwalimu wa Chemistry Mr Kibasa kuja kuwa mbunge wa kwanza wa upinzani Iringa mjini mwaka 1995 akitokea...
Binafsi nilkuwa sinywi ila kila tukitoka out huyu mshua kazi yake ni kununulia watu tu yaani wana kauli yao ya lete kama tulivyo inakuja bill 90 elfu hadi laki nikaona huu ni ujinga bora hiyo hela...
Habari!
Kichwa hapo juu kinajieleza
Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo...
Habari za asubuhi!
Nina mwanangu wa miaka miwili kasoro miezi, jana asubuhi (ijumaa) niliamka asubuhi na mapema na kuanza kufagia banda la kuku. Kumbe na yeye aliamka muda huo huo na kuja kukaa...
Kufanana kwa Rais Marais wote wa zamani wa Merika wamefungwa maisha yote, lakini kufanana kati ya marais wawili wa zamani huenda zaidi ya kawaida.
Kuwa na umewahi kusikia kuhusu kitendawili cha...
Habarini ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele na kunilinda na mabaya...
Siku moja nilimtembelea rafiki yangu aliye kipofu. Kwa sababu ilikuwa usiku alifanya kitu kilichonifundisha sana. Nilipoingia ndani, Moses aliwasha taa. Nikamuuliza, Moses, kwa nini umewasha taa...
Hivi huku wote ni matajiri au? Kwasabu Mimi kilanikileta mada zangu za laki mbili, tatu, Watu wananikejeli.
Isije kuwa nimevamia chaka la maboss tu, Wanaohitaji nyuzi zinazo husu bilioni kadhaa.
Ni huyu jirani yangu mama Sikujua hapa Kwamtogole. Alikwenda kwa mganga ili kumuweka sawa baba Sikujua asifurukute. Maganga alimpa mama Sikujua dawa ya kuweka kwenye maji ya kuoga.
Siku ya...
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place
Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
1.Utosini hadi Unyayoni.
2.Kichwani hadi kabla ya Matiti.
3. Matiti hadi Chini ya Kiuno.
4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni.
Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji.
Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo...
Za muda huu folks
Nipo hapa TipTop kupata japo bia mbili tatu na weekend hii, sio mbaya wadau walio karibu na hapa tukionana. Hata walio ndani sio mbaya.
Lengo ni kufurahi na kupeana mawazo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.