Wakuu Bar Maarufu ya Ambiance Sinza Imerudi.
.
Bar ya Ambiance Kwa Sasa Ina Unyama Mwingi.
.
Jamaa kaweka Tv Mpaka Bar, Sehemu ya Smoking Ndio Unyamaaa Mwingiii.
.
Pale smoking room Mwanangu...
Mwanadada huyu ambaye kafika hapa Bar akiwa na mwanaume wake mida ya saa 12 jioni amegeuka kuwa kitoweo cha wahudumu wa kiume wa Bar ili kumsaidia kutimiza deni la sh. 90,000 lililoachwa na...
Kufuatia mechi ya soka kati ya Yanga na Simba jana huko Mwanza, kanda ya ziwa ilipata mvua usiku wa kuamkia Ijumaa na Jumamosi. Leo na kavu.
Nafikiria kama msimu wa mvua ukichelewa ni bora...
Nipo Mbeya hapa kuanzia Uyole, Rungwe, Kyela, Chunya na kila ninapopita napishana na wakinamama wana ndevu. Sasa sielewi jamii za huku ndo walivyo au...au Kuna mkoa mwingine wapo kama huku maana...
Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums.
Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
awali ya yote nianze kuwasalimu ndugu zangu wa jf na nyie mnaosoma kimya kimya huko kama maguest kupitia browser
NAWASALIMU KWA JINA LA TOZO ZA MAMA...
Wana jamvi habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unapokuwa na mpenzi akakuzingua huwa unafanya nini kama mmefikia ile point ya kila mtu afe kivyake. Binafsi huwa napiga buyu tu mdogo...
Hellow JF.
Wanywaji na walevi heshima nyingi ziwafikie kwa sababu hata bia ipande bei kiasi gani hawa wadau huwa hawaachi kununua na ni miongoni mwa bidhaa inayofanya vizur kuchangia pato la...
Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine?
Mimi binafsi...
Nimetimiza ndoto yangu nimefika juu kabsa kwenye daraja la kijazi inter change kipindi nko Lushoto ilikua ndoto yangu nikikanyaga Dar es Salaam kwa mara ya kwanza tu moja kwa moja niende daraja la...
Wakuu....
Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini.
Na baada ya kuuza ng'ombe zangu...
Wakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai”[emoji23] yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.