JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana tupige kazi aisee njaa mbaya
1 Reactions
11 Replies
659 Views
Mmeamkaje? Mwenzenu nimeamka kwa kuchangamka na Ameno....you want to bambam.Umeamka na song gan Leo?
2 Reactions
28 Replies
1K Views
TUJIFUNZE KUTUNZA SIRI KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi; Mteja: Samahani, naomba kujua...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Tupeane mbinu ya kuzidi kukuza utajiri
1 Reactions
14 Replies
925 Views
Any way awali ya yote nahitaji mtu yeyote mwenye namba za mganga anisaidie nina shida nae Ishu inaanza kuna jamaa yangu mmoja hadi hapa tunapoongea anaumwa vibaya sana, huyo jamaa alikua na tabia...
1 Reactions
2 Replies
431 Views
Mafundi magari wanapokuwa kazini hasa kando ya barabara (dharura) huwa na muonekano huo hasa gari lililogoma likiwa ni la mdada [emoji23][emoji1787]
0 Reactions
0 Replies
577 Views
hujatokea kwenye familia ya kitajiri (hujarithi mali) huna jina wala umaarufu wowote mjini hujawahi kupigiwa chapuo sehemu yoyote huna kipaji (sio msanii, mchezaji nk) hujawahi kufanya biashara...
3 Reactions
6 Replies
556 Views
Tuwe Makini na Hukumu zetu kwa Watu bila kujua Vinasaba vyao na Genes zao.. Habari wana jf Nimeona nilete hili kwenu ili mjifunze jambo, Katika jamii zetu kuna kuhukumia sana kuhusu Ushoga...
10 Reactions
55 Replies
6K Views
Katika harakati za kutongoza/kutongozwa ni jibu gani la ajabu uliwahi kupewa hautosahau [emoji28][emoji116]
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Niamini kua hapa duniani hakuna kitu kibaya kama kuawa: Muoga Mzembe Maskini Mjinga Mnafiki Jitahidi sana kuuepuka uzembe, uoga, ujinga na umaskini HAKIKA HUTOJUTA Madini hayo...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
We are Africans❤ We call every toothpaste COLGATE. We don't care😂 We call every washing powder SURF We are proud😂 We point at an empty chair and ask “Who's sitting there?” We are just like that😂...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
-Ukimaliza kuoga kama maji yamebaki unajimwagia miguuni -ukienda kanisani kutoa sadaka unaomba chenji kabisa hukohuko ulipotoka -kuwa ijumaa ni siku ya biriani -kuwa mwanaume hapaki mafuta...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Hii in maalum sana kwa zile sentesi ambazo ukijichanganya tu unaangukia kwingine . Mfano. Jaribu kutamka kwa speed [emoji312] Ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi...... ndege mwekundu...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari za jioni. Natafuta hii kitu inaitwa Oatmeal, ni nzuri sana kwa mahitaji ya Protein mwilini. Wapi zinauzwa niweze kununua
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndo kama hivyo, halafu nikiangalia maendeleo niliyonayo daah. Inabidi niwe serious na nirudi kwa muumba wangu ndo nilivyoamua hivyo, ili mwaka ujao tarehe kama ya leo panapo majaliwa niwe mahali...
0 Reactions
22 Replies
798 Views
Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa...
19 Reactions
169 Replies
10K Views
Hello guys! Nachukua nafasi hii adhim kujipongeza mimi pamoja na wazazi wangu kutokuingia kwenye ulimbukeni wa kijinga wa kuondoa rangi yangu ya asili na kujinasbisha na watu weupe!
1 Reactions
11 Replies
400 Views
Nimekuta box la Kly gelly kwenye droo ya kabati lake liliwa halina kitu (empty box) Sijawahi kuitumia Hii inaweza kuwa ishara ya nini wakuu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
847 Views
Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka. Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo...
41 Reactions
62 Replies
4K Views
Back
Top Bottom