JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukitoka mshahara tushituane haraka. Mimi nikiuona nitawashtua haraka iwezekanavyo
2 Reactions
25 Replies
2K Views
A common African man until he reaches 45 yrs old anakuwa kalala na si chini ya wanawake 100 kwa mujibu wa utafiti fulani. Leo ingekuwa siku ya KIAMA as a man ukaulizwa UKIWA DUNIANI...
0 Reactions
6 Replies
469 Views
Habari wanaJamiiForums Kama heading ijielezavyo hatimae nimefanikiwa kuzisoma threads zote za Jamiiforums ktk majukwaa yote ispokuwa jukwaa la siasa Hivyo ningeomba wanaJF wenzangu musikose...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Inakuaje tumeaminishwa mchizi anasura mbaya wakati ni tofauti na uhalisia
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka mwaka huu niache rasmi kupiga punyeto. Jana nilianza kuacha leo nimepiga cha mwisho mwisho labla sijaingia darasani akyamungu hii ndo punyeto yangu ya mwisho sipigi tenaaaaa. Nilianza...
2 Reactions
53 Replies
11K Views
Raha ya kuwa single ni ipi 1.unaludi muda utakao huulizwi na mtu 2.unaonjea mboga kwa mwiko [emoji23] 3.ukitoka kuoga una jifutia pazia Ongezea na zako[emoji116][emoji16]
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Sasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wote. Ukiwa na urafiki nao...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Nauliza tu na kama yamekukuta iwe mke au mume tuwekee mbinu ulisalimika vipi ?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Oya sio poa wadau... Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120] Natangaza...
16 Reactions
101 Replies
5K Views
Inakuwaje wanangu wa Jamiiforums Binafsi mimi nilikuwa mpenzi mtazamaji, na Hakuna kitu kilikuwa kinaniuzi kama kuona watu wakizichapa atokee mtu aje kugombolezea Kwa wale mliowahi kuzichapa...
10 Reactions
159 Replies
14K Views
Asalaaam kuna jamaa bhana kakosea kutuma sms kwa bahati mbaya ile sms ikaenda kwa mdada mmoja hivi angalia sasa kilichotokea hapo [emoji116][emoji116]
2 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Ntaeleza kwa ufupi kadri iwezekanavyo Iko hivi... nilikuwa straight A student yule kipanga toka primary mpaka secondary kinachoniuma nilikuwa napata hayo matokeo in expense of my social...
2 Reactions
7 Replies
741 Views
Tazama, Doa, Harufu Mbwa sio tu rafiki bora wa mtu, pia ni bora zaidi linapokuja swala la kunusa. Hisia zao za harufu inakadiriwa kuwa mahali fulani kati y’a 10000 na 100,000 zaidi bora--au kali...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo kwa sister hapa naaangalia angalia michongo ya kazi hapa Town. Tulikuja Mjini kutafuta pesa siyo kuangalia magorofa. Mimi mtoto wa kiume lazima nijitume. Kama matunda yangu yapo basi lazima...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba. Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibik ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule...
26 Reactions
18 Replies
4K Views
Tafuta ela efu 40000 Tafuta mafuta ya harufu ya 5000 Tafuta T-shirt nzuri ya 15000 Tafuta suruali nzuri ya 10000 Na viatu vya 5000 Alafu jioni kabla jua halijakwenda malaloni Nawa Mwili mzima...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naona kimya na MAZA kasafiri sijui itakuwaje Kama amesahau kuruhusu mshahara ulipwe. Haya matusi nitayajibu vile vile maana humu lolote litegemee
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Hivi ishawahi kukutokea kupanda daladala moja mara 2 hii hali imenitokea leo naenda kazini na kurudi
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Yaani kuna swala ambalo linaleta ukakasi ni mwanaume kuwa chawa wa mwanaume mwenzake! Hizi unawezaje kuishi kwa kumsifia mwanaume mwenzako sifa sometimes ambazo hata hana au ustahili ili mradi tu...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom