Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka. Tunaonana kwa ajili ya kufurahi, kubadilishana mawazo, kubadilisha mazingira, kupeana michongo na vingine vingi...
juzi nilikuwa nimeji hanganya mtaani,katika pitapita za hapa na pale,nikakutana na hii kitu, eti inasemwa kuwa wanawake wenye vinyweleo vingi mwilini (NI rahisi kuwatambua utawaona kwa kuangalia...
Jana nilibahatika kukaa home sikua poa kiafya....mida ya jioni hivi nikasikia jamaa na mke wake wanalumbana..(nahic jamaa alifumwa na meseji)...!!sasa imefika kama saa 2 naenda toilet namkuta...
Chukua tano , ting tang gijiiii, watu Kati
Oya Jafe....unamuona maza anavyopendezaaaa??
Maza anaupiga mwingi au sio!!!!!???
Haikatai Haikatoksi
#Ccm hatuboi/Hatupoi
Ila for My opinion is that the answer to this question depends on the culture of those questioned.
.
If U have a culture where one man can marry up to 7 wives then u have a total of 49 (parents)...
Nimeona sehem MMU wana timu ya mpira nikaona huyo aliyevaa namba tano nikafikiri nikawaza nkasema au ndo Miss Natafuta na ka wezele kake? Maana ndo alisema anafanya sana mazoezi, Natania tu ila...
Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
Kuna jirani yangu Mung chris alikuwa anaumwa sana akaamua kumtafuta mganga bingwa wa kienyeji ili aweze kumpa tiba.
Baada ya siku kadhaa akapatikana mganga maarufu toka Msata mzee Mshana Jr...
kuna jiran yangu mmoja alikuwa anaumwa akaamua kumuita mganga wa kienyeji ili aweze kumpa tiba. Mganga alipofika akamwambia kuwa ugonjwa wake hautibiki ila njia pekee ya yeye kupona ni kurusha ule...
AISEE HII KALI YAANI KUSAHAU GANI HUKU AU NDO NIMEUPIGA MWINGI
Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya...
Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf
sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza
@Demiss jina tamu sana...
Kazi zilibana sana hivo week hii niko free tena ntakuwapo sana hapa JF
Nilikuwa busy kidogo then we can share everything new,
Nimetoka zangu Norway ninapumzika hapa Lviv wenyewe wanaita a dining...
Uzi huu ni maalum kwa fans wa weekend,na kula Bata,fans wa counter za juu,tuambie uko viwanja gani,tupia ma picha ,video ,tupia mwaliko kwa mtu unaye mkubali ,n.k
Je, ni kitu gani unawaza kwa sasa?
Mi binafsi nimekaa hapa nipo nawaza tu. Je, ni kitu nifanye ili nipate pesa ninue gari ya ndoto zangu ili niendeleze mtanange wa kuwachakata kimataifa.
Cc Zero IQ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.