Habali wakuu,
Wale wazee wakuponda kila kitu muipotezee tuu hii threads jana bana nikaamua kwenda bmax lounge nikiwa na staff wenzangu watano wa ofisini
Sasa bana maisha haya sometimes tukiwa...
Gigy kipenzi nicheki kwenye email stefanokiva@gmail.com
I need to meet you in private
Nicheki in private my email is stefanokiva@gmail.com
Just send me contact
Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea.
Makato yamezidi, watanifilisi hawa.
Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au...
Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati...
Kwangu mimi huyu ndio madam makini zaidi hapa JF,
Na ndio mtu niliemfuatilia zaidi hata kabla ya kuwa member rasmi hapa Jf mwaka huu.
Ninamkubali sana ,ni mwqnamke makini, na hekima sana ,,hata...
Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti...
Habari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho...
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua...
Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda...
Maisha ili yawe marahisi inabidi watu wakat mwingine tujifurahishe na kujiona tunacho hata kama hatuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ninafsi huwa najiuliza sana weekend mtu...
Shukrani nying sana ziende kwa Allah na Wazazi wangu ,leo tarehe 05/June 2022 nimetimiza umri wa miaka 25.
Sasa nita focus kwenye uwekezaji wa biashara tu.
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu,mama mkwe,na baba mkwe kwa kufanikisha wewe kuja duniani,naamini ulikuja kwa ajili yangu.Wewe ndo umekuwa siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi...
Habari wakuu,
Naombeni kuuliza leo nimeota nipo mtaani kwangu nikawa naruka kama ndege lakini sina mabawa naruka huku nimesimama wima, nazunguka zunguka mtaani kila kona napita nakutana na watu...
Hello fellows,.
It has been a while
Natumai walio hai hamjambo na waliotangulia mbele ya haki Mungu awapeleke wanapostahili.
Tuko pamoja jamvini.
Wagala walioniombea dua mbaya nimewasamehe bure...
thread hii lengo lake ni Ili wajijue wale ambao kwa makusudi au kwa bahati mbaya hamtakwenda mbinguni kule ambapo waadilifu wameahidiwa ahadi kubwa kuliko zote na yenye thamani.na kwa sababu...
Let this new year of your life be more beautiful and full of achievements and fun. May you enjoy new opportunities and experiences as you take another step in your life.
Happy birthday dearest.
Heri ya siku yako ya kuzaliwa rafiki.....
Mungu akupe hitaji la moyo wako na akupe maisha marefu zaidi.... Sijutii kukufahamu umekua rafiki, na mshauri mwema kwangu...... Nakuombea siku zote uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.