Nawasalimu kwa mvua.
Nimeona jamaa angu kapost facebook na wengin wakaja na ushuhuda, mimi pia hii hali pia hunitokea. Hivi kwanini mara nyingi huwa naota niko form six na naogopa sitafaulu...
Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala.
Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka...
Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani
Upo kwenye chumba cha mtihani,
maswalii yamekupiga kinyama
Unaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,
Ghagfla lecturer...
Habali za usiku huu wakuu nimekuja na nyuzi hii tushikilishane kwa pamoja kwamba ni njia gani huwa tunazitumiaga kuondoa stress mfano; mtu kakukwaza, matatizo, kuumwa, nk.
Mfano mimi huwa nikiwa...
Hey y'all...
Inachukua muda gani mpaka mtu uanze kupostiwa thread za happy birthday humu au ku🙈🙈😅😅.
Anyway Namshukuru Mungu kwa rehema zake leo nimtimiza miaka 30. It was a long journey Kwakweli.
Naelekea Jiji la DAR japo ndipo nilipozaliwa na nilipokulia naenda kukutana na vituko vya mji na purukushani za hapa na pale.
Dar kila mtu ni kujiona kafanikiwa japo unakufa na tai shingoni muda...
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako
1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma-...
Namshukuru Muumba kwa kunifikisha kutimiza mwaka mwengine tena wa kusherehekea kuongeza umri niloishi hapa duniani nikiwa na siha na afya njema, kwani ni Muumba pekee ndio muweza wa kila kitu...
Kwa mfano Mimi muanzisha Uzi mchangiaji wa kwanza atakayeni"quote" mchangiaji wa pili atatakiwa ku comment Kwa kuunganisha jina langu na la Yule mchangiaji wa Kwanza, and the game continues, let's...
Yani tumetoka kusuluhishwa ukweni suala langu la kuchepuka ila tunarudi nyumbani tunawasha TV tu tunakuta tamthilia halafu mwanaume ana wanawake wawili na ana mtoto nje halafu mke wake hajui. Yani...
NDUGU ZANGU...
Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya)...
Wakuu kuna demu wangu tumeachana ni pisi Kali tulidumu kwenye mahusiano kwa wiki 2.
Sasa naona amezidisha kunipiga majungu status kila kukicha.
Japo yeye ndio alieniacha
Nimfanyaje?
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone.
UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi...
Mimi niliibiwa k7 nilinunua mpyaaa baada ya kula mkeka natoka zangu kazini kwenda stand hapo Mohamedy Mwanza ile kunyanyua tu mguu kuingia kwenye gari nakutana na jamaa nae anashuka nilivyompisha...
Juzi juzi tu niliwasili mkoani Mwanza usiku sana nikitokea mkoa fulani. Nikasema isiwe kesi ngojea nikapumzike kabla asubuhi sijakwenda uko nilipotaka kufika. Kweli nikapata guest moja karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.