Jenga picha leo hii umekutana na kijana ambaye ni wewe mwenyewe kipindi hiko uko na miaka 18, yaani yule wewe wa miaka 18 halafu unapata nafasi ya kumueleza machache, utamueleza nini?
Habari zenu wanajukwaa la Chit Chats na Utani!
Natumai kuwa 90% ya members wa JF mmewahi soma shule za boarding hasa hasa Advance!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kupiga story za kianafunzi...
Tujadili kwa pamoja, Je ni changamoto zipi zinazokikabili kazazi cha millenials hususani kwa Tanzania?
Millenials ni kizazi cha watu wote waliozaliwa Kuanzia miaka ya themanini mwanzoni kuja...
Nipo hapa mitaa ya CBE nimesimama ninaona wasichana warembo wakipita na nina watamani sana, siwezi msimamisha mbele ya watu wengi ila kuongea naye naweza….Je, njia gani nzuri wakuu wa mambo bila...
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita...
1:Seche.
Huyu alikuwa mtoto wa kigogo hapo dodoma, mtoto wa baba mchungaji,
Huwezi amini kila siku yuko na biblia lakini mambo yake hatari kunako 6 kwa 6,
Nilidate nae wakati ule yupo advance...
Ndugu majamaa leo siongei mengi Ila nilikua tu nataka kuwaambia ishini na wanawake vizuri utelezi upo Tena bila hata Mia.
Mmesikia nyie mnao tafuta hela....?
Ila msijisahau.
Cheka kidogo
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250],
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250],
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao...
ORODHA YA SIMULIZI
1. Behind the curtain: September 11
2. Cosa nostra
3. Picha zinatisha: La Ultima Letra
4. Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)
5. Top Secret: Nyaraka Namba 12333...
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako. Je,
a.Utapenda mukaishi nchi gani? Kwanini?
b. Mtajishughulisha na kazi gani?
c. Utapenda mzae watoto wa...
Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za...
Huu ni uhuni kama sio uhujumu uchumi anaotaka kunifanyia huyu mrembo wa CBE,
Anatumia uzuri na kalio lake kama chambo cha kutaka kunifirisi,
Siku ya tatu leo sijaenda ofisini kukagua mahesabu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.