Wanaume kama kuna swali linakutatiza kuhusu wanawake na tabia zao,maumbile au kitu chochote kinachowahusu wanawake ni muda wako wa kuuliza hapa na wanawake watanisaidia kujibu maswali...
mpime ngoma. kama hana oa fasta kwa sababu zifuatazo.
1: wengi wanajiuza kwa sababu waliwahi kujeruhiwa kihisia.
2: Utakuwa umepunguza rate ya uzinzi nchini.
3: Wanajua kufanya mapenzi, hivyo...
Nina jirani yangu ana watoto wanne. Last born amemzaa ukubwani(5yrs old)
Leo ametembelewa na wajukuu zake. Mtoto wake last born hakuwepo. Mara akaingia paap! Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo...
fanya haya kuokoa maisha yako kwenye simu
Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu wa kufungua...
Habari JF
Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu.
Ahsanteni sana 🙏
Wakuu,
Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.
Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za...
Nimekuta twitter :D:D:D:D
BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
Swali tata...wengi najua wataogopa kulijibu..lakini ukweli unabaki pale pale lazima wote tutaiacha dunia..
Je una siku ngapi zimebaki?? Na kwanini unahisi zimebaki siku idadi hiyo??
Je...
Imewatokea wanaume wengi sana wa Dar! Sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga. Yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata... halafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti...
1. Wote wana magari.
2. Wote wamefika university
3. Wote wamekaa ulaya.
4. Wote wanaishi dar.
5. Wote ni piskali mademu
6. Wote ni hendome wanaume.
7. Wote wana hela.
Hao ndio wana JF ongezea ya...
For you my Valentin 💕💕
💓Napenda...💓penzi..moja ..litokalo...kwako 💏💕
💓Napenda... 💓sura..moja..nayo..ni..sura. yako. 💏💕
💓napenda..💓Tabasamu...moja..litokalo...usoni..mwako 💏💕...