Hasa wale wa kuanzia 2000 hada 2006 na 7 Hadi na 10 walimu wa kwanzakwanza wengine washatutoka wengine nahisi wapo hai
Mwalimu shabani mwalimu mkuu
Mwalimu sembe
Mwalimu idrisa huyu Kama ni...
Kiukweli kuna sheria /taratibu zingine kuzifuata ni mtihani sana..yaani inakubidi tu uivunje ili vingine viendelee...
Kuna siku nipo class form 1..shule yetu kuanzia getini yamejaa mabango tu...
Ni vyema tukashare interesting moments wale wote tuliowahi kuishi mabibo hostel.
Kulikuwa na mambo mengi mno ya kustaabisha na kuvutia.
1.Shuttle to main campus zilikiwa za kugombania ulifikia...
Fellow members, if someone just comes on your way and asks you this simple question " In whose hands are you safe?" What could be your response?
Are you safe in your parents' hands,your wife's...
Karibuni tukumbushane ni jambo gani lililokushawishi kufungua akaunti JF, na jukwaa gani lilikuvutia zaidi?
Nikianza na mimi, nilifungua akaunti JF baada ya kupendelea kugoogle baadhi ya mambo...
Leo nimeamua niwarudishe utotoni najua kabisa kwa sasa umri umekwenda na hauwezi rudi nyuma kamwe ila Kipindi kisichosahaulika ni Cha Utoto
Utoto ni Kipindi ambacho wengi walikifurahia kutokana...
Wakuu naomba kujuzwa Siri iliyopo nyuma ya nambari 3 maana hi nambari hutumika Sana katika Mambo mbali mbali.Kwa mfano;
1.Huwa tunakula Mila 3 kwa siku
2.Mchezaji wa soka akifunga mabao 3 hio...
Huku kwetu kuna jamaa alisema yupo tayari kunywa NIPA lita tano akimaliza apewe 20000 kweli bhana akapiga baada ya hapo akafa ni kama aliforce talaka kwa maisha au kumbeep Mungu mwenye full...
Habari Wakuu
Leo Nimeona Nikumbushie Enzi Za popobawa Aliyekua Anadaiwa Ni Kiumbe Wa ajabu Anayewaingilia Watu Kinyume na Maumbile Mbaya Zaidi Usipotangaza Eti Anakurudia Tena Yaani Ukitaka asije...
Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi.
Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za...
Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa...