Hi.
Karibuni tuelezane mambo (facts) mbali mbali kutuhusu sisi, ambazo sio kila mtu anazijua.
Mimi naanza.
1. I am a Coma survivor. Nilipata ajali ya gari na nikaa coma kwa muda wa wiki mbili...
Uliwezaje kwenda nchi za watu au ughaibuni either kwa ajili ya masomo au masuala binafsi ya kikazi na ni njia gani uliitumia kuamin na kufanikisha mchakato mzima mpaka sasa uko huko?
Nahitaji mwanamke anaejua nyimbo za Romantic za miaka ya 1990's kuanzia za Boyz ll Men,Mariah Carey,JoDeS,KCi &Jojo,90', Ncyinc, Saveg garden,n.k.awe anazijua lyrics zake kwa sana ili tuweze...
Mtu anapoanza kujitegemea, huanza na basic needs kwanza, yaani kitanda, vyombo vya kulia na kupikia(hapa inajumuisha jiko).... baada ya hapo ndo mtu huanza kununua vitu vingine anavyo penda yeye...
Kwema!
Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi...
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.
Mimi naanza:
Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke...
Je pamoja na wengi kuweka picha zisizo zao na user name anuai kuna uwezekano Wa ganda la kitabu kusadifu maudhui
Mfano
Mjingamimi
Miss natafuta
Heaven sent
Smart911
Stable woman
Kapeace...
Umeenda nyumbani kwa mtu, halafu unakutana na toto sumbufu balaa! Hamjawahi kuonana, lakini limeshakuzoea...
Unakuja mwenyewe labda umechomekea shati, nini!! Linaanza kukurukia rukia, mara...
Ebwana nimekumbuka baadhi ya majina ya wadau niliopata kuwafahamu kipindi cha nyuma. Wengine walikuwa waalimu zangu, majirani zangu etc.
Ila sikumbuki kabila zao na maana ya majina yao...
Mimi bwana naomba niwape shavu watu hapa JamiiForums ambao wamenisaidia kwa namna moja ama nyingine
Nafaka
PETRO E Mselewa
mjingamimi
oneb
@wangari upo wapi
Mnaweza kuongezea list zenu waliotoa...
Hellow JF
Kuna haka katamaduni unakuta mfano mpo kwenye sherehe wageni waalikwa mumeenda kuchukua msosi buffet ya maana kabisa sahani imejaaa kwenye kula sasa ataanza na aina nyingine nyingine...
Because I love you
U always in ma mind
Ma heart, ma soul . . .
I just wanna be Close to you!
Hii naileta kwako wewe rafiki.
Mbali ya kuwa ina maneno mengi mazuri hasa kwa wale waliojidhatiti...
Naombeni ushauri wakuu kama mnavyojua tarehe mbaya hizi hapa nilipo nimenasa haswa Sina hata mia yaani ikitokea ghafla bill ya maji au umeme naaibika maana kila ninayemgusa analia njaanuary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.