Mama: Mwanangu hebu chukua simu umpigie babako umwambie chakula kiko tayari.
(Mtoto kachukua simu kisha kampigia babake)
Mama: Mwanangu babako kasemaje?
Mtoto: Aahh, mama simu ya baba ilipokelewa...
Hellow hellow [emoji112][emoji112]
Asikuambie mtu ndoa zina mambo sana ,kuna kile kiutaratibu ule muda wa kulala sasa umeshatoka kwenye mihangaiko yako mnakutana ile usiku mke anaanza kukupa ubuyu...
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya jukwaa hili
Nimeamuwa kuleta uzi huu ili tuweze kuhadithiana matukio tunayokutana ama kuyafanya hapa dar es salaam usiku liwe la kusikitisha au la kuchekesha...
Habari wakuu
Kwakwel mimi baharia wa nchi kavu ndugu bwana Fene hiki kitu kitambi sijawah kukielewa hat kidogo,
Swali
Je hiv kitambi haswa kinaanzaga katika umri gani? ili nijipange kukiepuka...
Habari za jioni wadau......
Anastahiki sifa njema muumba wa ardhi na mbingu. Pia kwa kuniwezesha kumalizia na kuhamia kwenye kibanda changu kipya namshukuru mungu kwa hilo , namuomba mungu ampe...
Mtangazaji wa CloudsFM kipindi cha LEO TENA Burton Mwemba maarufu Mwijaku ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza leo Ofisi za CCM Lumumba DSM kuchukua fomu ya kugombea U-spika wa Bunge la...
Mi naanza naya king'asti!!ushename na dang'a na nang-ngiku'kundie yaani nazitamani sana kuzipata nashindwa kuzidukua kama tunavyofanyaga watsap au fb!!
Endelea kutaja wewe unazivutiwa...
Heri ya mwaka mpya wanajamii.
Moja kwa moja kwenye mada...mimi huwa siingii Jf garage kwa sababu sina gari na sitegemei kumiliki any time soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Lingine ni Jf...
Kwema wakuu,
Mimi kila nikifungua jf Kuna nyuzi maarufu nakutana nazo,
1)Battle: Dar vs Nairobi
2)Ishmael was not sacrificed
3)Namna bora ya kukata roho
4)Wauzaji wa smartphones tukutatane...
Ndio, wale wanaume tuliooa wanawake wafupi tujuane tupeana changamoto za Hawa viumbe na ikiwezeka tuanzishe chama chetu cha wanaume waliooa wanawake wafupi Tanzania (chawawata) tuwe na mwenyekiti...
Habari wanajf hiki ndicho kilichonikuta kwenye mkesha wa x mas
Uwiii Wanajeshi Hawa sio watu tupo mm na shoga angu tumetoka club uck akanambia nimsindikize kwake tukifika atamwambia mume wake...
Wiki takribani tatu, soda mtaani zimekuwa adimu sana hadi kupelekea wadau wa soda kuleta nyuzi huku kuulizia kulikoni soda kuadimika!
Hakuna ubishi soda za kampuni ya cocacola, mfano fanta na...
Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,
1: Patricious
2: Rose
3: Hammisa...
NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.