Kama ni mweusi, mshukuru Mungu kwakuwa mweusi, siyo mara ooh! Mimi ni maji ya kunde... Kunde zipi?
Kama weupe wanavyojiamini na weupe wao, na wewe jiamini na weusi wako. Acha kujichubua, Mungu...
Nipo home toka juzi nakula sikukuu na wazee hapa. Sasa kama mnavyojua family za kiafrika..
Well mimi mzee wangu kawalea ndugu karib wa ukoo mzima..yaan mim toka nakua our house is full, ndugu...
Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao...
Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa
Ila nionavyo mimi..kwa...
Chiku yuko njiani kwenda Bongo na ameamua kufanya Transit stop Paris, Ufaransa. Amepokelewa Airport na Powersbongo. Powersbongo amefurahi kuonana na Chiku. Anampeleka Dinner, halafu wanaenda...
Jamii forum kwa waliopo Mungu ametupenda na aendelee kutupenda mwisho wa mwaka ndio huo unakatika na sasa inabidi tuulizane kipi umefanya hadi ukikumbuka unafurahia .
TUAMBIZANE
Ha ha ha haaaaa!
Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe!
JAMAA: VP tena darling kulikon?
MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua...
Maselaaa eeh eti tukisema ukweli kutoka moyoni demu mmoja anatosha!???
Kama ukijaaliwa kupata watoto mapacha utawaita majina gani??
Wewe kama kijana wa hovyo weka swali lako hapa mavijana...
Nimekuwa mlevi Sana kila siku nakunywa pombe.ikitokeaga naumwa nameza dawa ndo nakuwa sinywi.nimeshauriwa niache pombe ila sikomi..Sasa nimefikiria nimeona nitafute ugonjwa wowote ambao utanifanya...
Jeff alikua mvuta bangi siku moja alichota maji ndoo mzima .Akavuta bangi baada ya kuvuta bangi akaamua kupiga mbizi ndani ya ndoo .Aliumia sana ikabidi amelazwa hospitali.Vijana nawaomba tuwache...
Hongereni sana wa mama wa zaman mlikuwa na mbinu sana mkitaka kupata haki yenu ya ndoa utasikia haya kachezeni baba anapumzika hataki kelele.
Hapo sasa mdogo kama hataki kuondoka utasikia fulan...
Nakumbuka nilimtania Mwalimu wangu wa shule ya Msingi nikajificha nyuma ya fensi ya nyumbani kwetu
Kumbe aliniona bwana.
Kesho yake nafika shule tu akaanza na mimi.
Nikala viboko.
Wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.