Dawa hii ni kiboko imesaidia wengi
Inafanya Boss akupende na asikufikirie vibaya na kamwe hawezi kukufukuza kazi, kukushusha cheo wala kukuona vibaya.
Dawa hii imesaidia hadi mawaziri wa...
Habari zenu wakuu, natumai wote mpo salama kabisa, ila kwa mwenye matatizo Mungu awasaidie.
Tukiwa tunaelekea kumaliza huu mwaka 2021 nimshukuru tu Mungu kwanza kufika mpaka hapa leo, maana bila...
Kwa furaha ya kipekee niliyonayo siku ya leo waweza kuniuliza swalo lolote kunihusu na nitajibu kwa usahihi sana.
Angalizo:
Maswali yahusiane na hapa kwenye jamii forums, na yasiwe sensitive na...
Hello
Nilizaliwa tarehe moja mwezi wa kwanza.
Wish me brothers and sisters dk chache zijazo itakuwa ni kumbukumbu yangu ya kuzaliwa.
Ningekuwa na mpenzi angenipost na caption ndefu yenye maneno...
Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe.
Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
Inakuwaje watu wangu wa nguvu
Ssa wadau kwakuw wana-JamiiForums tumekuwa ni wenye kupeana msaada mbalimbal kimawazo na kivinginevyo,
Leo mwanenu ndugu bwana Fene nimekuja kuchota maarifa ya...
Namshukuru sana MUNGU aliye juu kwa kunipa uzima na mpaka sasa hivi ninaandika.
Bila yeye hakika nisingeweza ,naomba anitimizie zaidi ya yale niliyomuomba japo apangalo huwezi pinga.
Nami...
Namshukuru MUNGU kwa kuendelea kunipa pumzi hii, kitu ambacho ni adimu kuliko vyote.
Sifurahii umri kuongezeka maana siku za kuishi zinapungua bali umri unavyokwenda na uwezo wa kufikiri...
Hello Jamii forum, kheri ya Christmas na mwaka mpya,kazi iendelee
Iko hivi katika pita pita zangu humu jamii forum kuna mengi unayakuta yenye kufurahisha,kuburudisha
Nyuzi za kuelimisha na...
*🐰🐰 A Rabbit entered a shop and asked: "Do you have carrots?". They said, "no we don't have." The following day the rabbit came to the shop and asked again, "Do you have carrots?" They replied...
Kwa wale wapenda mambo yetu yale huwa una pendelea kutumia kinywaji gani uwapo maeneo ya burudani?
Binafsi nikiwa viwanja napenda sana wine ya "saint Anna" ina nipa stata kwa uzuuuriii...
Tukiwa shule ya msingi watoto walikua wanabeba vinywaji wanaweka kwa dirisha .Ikifika wakati wa chai watoto wananywa vinywaji hivo. Kijana mmoja mtundu akaweka mkojo ndani ya chupa akawacha...
Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili...
Poleni na starehe za sikukuu.
Hatimaye tunaingia mwaka mbaya kuanzia mabidiliko ya tabia ya nchi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja nyumbani.
Sipendi kuidanganya nafsi yangu, na pia nawasihi hivyo...
Sasa, tunaishi nyakati ambazo, anayetenda dhambi anakuwa maarufu sana kuliko anayetenda haki.
Yesu anarudi, nakuhurumia dunia, kama usipotubu na kuokoka, hutasalimika.
Nakuhurumia sana!
Habari zenu wakuu, herini kwa sikukuu pendwa za mwisho wa mwaka. Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2021 kwanza tumshukuru Mungu kwa zawadi ya huu mwaka na uhai hadi sasa tukiwa na imani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.