Kuna mtindo wa kuwapa majina watoto kwa kuanza na herufi zinazofanana ,je huu mtindo una faida au hasara au uzungu?
Unakuta mzazi anawaita majina mtoto wa kwanza hadi wa mwisho herufi inayoanza...
Habari,
Naomba msaada wenu. Kama wewe ni mzee wa zamani au miaka ya 90 na 2000 ulikua unaenda Disko (Ulikuwa ushapevuka wakati huo), basi naomba uniorodheshee nyimbo zile mlizokua mnazicheza hasa...
Salamu zenu wakuu,
Niko kizani kwa takribani wiki sasa bila access ya JF, ni topic gani ilikuwa kali zaidi wiki hii katika jukwaa hili?
Nimeingia hapa najiona mgeni vile, loh! miss neddy...
Sipati picha kwa vituko na maisha ya facebook. Facebook ina jamii kubwa ya asili tunayo majumbani, mitaani, mikoani na kila aina unayo fahamu wewe.
Facebook ni watu wachache sana na mpaka walio...
Najua tupo ambao huwa hatuchaguagi soda zote sisi tunakunywa tukikuta pepsi fureshi, tukikuta mirinda barida,ukituchukulia coka haikatai,ukituleta Kwenye Sprite mzuka tu,sisi soda yoyote...
Alikuwa ni rafiki yangu, akimhoji mchumba wake,
Lahaula!,
Rafiki, Eti bidada unapenda chakula na vinywaji gani ?
Bidada akasema anapenda ugali dagaa na soda ya mirinda nyeusi.
Dah! Rafiki...
Poleni na majukumu
Naomba mniombee nipate mahusiano ya kunitenganisha na MUNGU tu nioombeni nipate MUME sikupenda kuwa single ila MUNGU anakusudio lake[emoji17],Maombi yenu plz
Wakuu salam,
nilisikia kuwa kuna kisiwa bahari ya hindi ukitokea whitesands pale,ni sehem ambayo inasemekana ni nzuri sana kwa refreshment..mnisaidie wanabodi nijue nauli ya boti kwenda kule,je...
Unatakiwa kujua kua nchi hii ina waalimu kibao lakini waalimu ni wawili tu Mwalimu Nyerere na Mwalimu Kashasha hao wengine wavumilie
Kuna captain kibao lakini captain nchi hii ni John Damiano...
Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu
Wale wenzangu na mimi hebu...
Picha ya pili ni Watanzania tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa, wakati tulishaambiwa kuwa Tozo ni kwa ajili ya...
Msonjo amenunua gari kwa ajili ya biashara ya daladala, ameenda kuomba leseni ya usafirishaji abiria. Ikawa hivi:-
Msonjo – wewe mama, mupe mimi laseni (leseni) ya gari.
Afisa-Leseni (Nkyekuu...
Mdada mmoja mrembo sana alikuwa kapewa talaka na mumewe akahamia nyumba aliyokuwa kapanga DEVI.
DEVI alipomuona mpangaji mpya roho yote ikamtoka.
Akajitahidi kila njia kumuonyesha kuwa nae yupo na...
Jana na kimbelembele changu huyo nikaitiwa mbususu mzee nikajaa ,sasa huko niliko mpk sasa ngoma imekula bao kama kumi hivi na inadai.
Mi kesho sijui km ntaamka .hapa natamani askari wa mianvuli...
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…
Boss...
Niaje wadau wa JF
Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka...
Habari!
Usioe mwanamke wa namna hii;
1. Anayevaa mawigi
2. Anayeweka kucha za bandia
3. Anayeweka kope za bandia
4. Anayevaa shanga kiunoni
5. Ana smart phone na hana kazi
6. Ana ghetto na hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.