Sijawahi kufika moshi huwa napita tu kwenda Arusha ila Leo nashuka moshi nakaa kwa siku Tatu naombeni wenyeji mnipe viwanja vitamu vya kwenda kuinjoy.
Ninaposema sehemu za starehe nadhani...
Basi mwalimu Edward alipomaliza kuandika maswali, akakaa sehemu yake kisha akawa anasubiri mwanafunzi aliye maliza apeleke daftari ili amsahishie. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida...
Watoto baada ya kumaliza michezo yao, kila mtoto anachukua kilicho chake na kwenda kwao. Anabaki mtoto mmoja akilia kwa majonzi, ikabidi aulizwe na majibu yalikuwa hivi (nimeibiwa viatu vyangu)...
asi mwalimu Edward alipomaliza kuandika maswali, akakaa sehemu yake kisha akawa anasubiri mwanafunzi aliye maliza apeleke daftari ili amsahishie. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida akashangaa...
Hello guys, good morning!
Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo.
Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
Habari za December Hii ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kbsà.Nawatakia Heri ya xmass kwa ndugu jamaa na marafiki hasa wale wakazi wa kaskazini
Kwa wale wanao safiri kurudi makwao Mungu...
Kwasisi ambao xmas hii hatuna michongo 2po2po bia hatunywi viwanja ha2endi tujuane
labda tutaokota madini kwa ambao washapanga timetable yao
mtupe mawazo kidogo.
Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa...
Top 10 African countries with most beautiful women.
1.Ethiopia[emoji1098]
2.Eritrea[emoji1096]
3.Somalia[emoji1220]
4.Mali[emoji1159]
5.Rwanda[emoji1206]
6.Ghana[emoji1110]
7.South...
Siku moja nilielekea Dar es Salaam, nilipofika kituo cha basi wakati huo ni Ubungo Bus Terminal akatokea kijana Msamaria mwema kabisa akaniomba Begi langu Anisaidie na mimi nikampatia.
Ila kwa...
Habari zenu jamani. Natumaini nyote mko salama kabisa. Mimi niko poa kabisa😊😊
Turudi kwenye mada. Hivi mnajua michezo ya zamani ilikuwa inahimarisha akili na ubongo kwa kuwa mwili unakuwa...
Niko namtazama anko Philip hapa aisee huyu jamaa hachoshi kumsikiliza. Akiimba wimbo hutamani amalize...Ni video ya live performance show yenye masaa 2+ aliyoifanya mwaka 2003 Uganda Salute kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.