Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na...
Mambo zenu wadau. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa. Aha kuna jambo linanitatiza. Mtu anawezaje kushiriki ngono. Huwa na imagine unakuta mtu anakaa kwao lakini ashafanya...
Hello Guys.. wa Dar es salaam!
Hivi kwa ambao siyo wapenzi wa pombe wala Wanawake yaan siyo wapenda ngono, Na hatuna marafiki tuko na Introvet character tunaenda wapi kuburudika kipoteza muda...
Habari waungwana,
Ebana mimi nataka kujua, kufahamishwa sehemu nzuri hapa mjini Dar es salaam za kutoka na mpenzi wangu na akafurahia ambapo kuna usalama zaidi n.k.
Badget yangu ni TZS 70000...
Wakuu
Ni miaka 60 sasa tangu nchi iwe huru na mambo mengi yanabadilika kila uchwao
Kwa sasa hapa bongoland mambo ni tofauti kabisa...man unatongoza mwanamke tena unaweza zungushwa kukubaliwa hasa...
Kweli wanawake inatakiwa tuishi nao kwa akili , na imefikia wakati sasa sijui watusamehe au iwaje au sijui tugeuke mwamposa tuwaponye😅😅
Tumepanda usafiri na mke wa Mwalimu
Wakati stori zimekolea...
Wajuba mpo.
Mr. Liverpool nimerudi Tena Toka chimbo.
Nimetoka huko porini napo Limia Parachichi zangu.
Eeh bwana eeeeh, panapo majaliwa kuanzia mwezi wa Feb/2022 naingia sokoni na Hass Avocado...
Kumbe mademu wa mjini wanacheza huu mchezo ili wapate pesa ya kula na matumizi yao
Leo demu mmoja kanifungukia kuwa ukiona demu anakuomba pesa ndogo ujue kwa muda huo amewafowadia wanaume hiyo...
Wakuu
Hapa naelekea Mitaa fulani ya hapa Mwenge kupata moja moto moja baridi
Yaani leo ni raha yaani leo ni mwendo wa kugawa bia tu bajeti ya leo nipo radhi hata 500k iishe
Ukizingatia na wife...
Hili jabali la Urusi, jitu lisilo na mizaha, jitu lisiloogopa wala kuyumbishwa. Hivi jamaa ana mke au watoto? Anaonekana katili mno, mke wake(kama anaye) si anapata shida mno?
Hivi ana familia...
Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa.
Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na...
Wanajamvi habari za mapambano ya kimaisha.
Nikienda kwenye lengo kuna tukio nilisimuliwa, iwapo likikutokea nivyema kuchukua tahadhari gani?
Nyumbani kuna kuku, baba/Mume anasema amekwema...
Hapo kwenye zawadi nono nimetania tu.
Naomba anayeweza kupata ile avatar yangu ya zamani ya bi harusi anamnywesha mumewe mvinyo(,members wa zamani mnaijua)
Nimejaribu kuitafuta huko mtaani ila...
Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama
Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
Amani iwe juu yenu
Huu uzi kila nikiukumbuka hakika unanifikirisha sana, ni uzi wa jamaa mmoja ivi ambaye aliwaliza watu wengi kwenye forex, alikwenda Matui-Kiteto-Manyara kisha akakodi trekta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.