Hello!
Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia.
wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana...
Kama JF ingekuwa kama YouTube ili kuvutia wasomaji hivi ndivyo nyuzi zingesomeka.
1- Zulu man with some power na miminimkulimaakachekasana waomba kufupishwa majina yao.
2- beaf la Bujibuji na The...
WanaJF habari,
Poleni kwa harakati za kutafuta chochote kitu ikiwa ni moja ya majukumu ya kila siku.
Ndugu yenu nimeleta Uzi huu nataka niingie kwenye level ya kujitegemea na kumiliki gheto...
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini...
i put brain storming questions And He U Know The Answer Your Welcome you Can Add Yours If You Have
Example
how Do We Call Someone Who Was Born In Tz lived In Kenya And Died In Uganda ? If You Fail...
Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost
Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo
Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1...
Usijaribu.
Siku imeniishia vibaya sana. Kushukuru tu bado tupo pamoja. Aisee mambo ya weekend yamenijia vibaya nusura nikate switch.
Mida ya mchana nikanunua zangu vant kadhaa nikaweka kwenye...
Ndio hivyo tena, December imeshaingia.
Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu.
Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki.
Ila nasikia WAVE nyingine...
Kale katabia ka mtetea kujiona babu kubwa kisa kana taga yai, sasa ni wakati wa kukakumbusha kwamba yai lisilo na jogoo haliwezi kutotoleshwa kifaranga hata likae kwenye "incubator" siku mia elfu...
Kwanza ziwe za kuchekesha
Pili ziwe za kutisha
Tatu ziwe za maajabu
Nne ziwe na mkono wa kufa mtu
Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo
Na pia kama katuni pia napendelea
Naombeni tafadhali NA PICHA...
Kuishi na boss wa kiafrica kwa amani inatakiwa uwe muigizaji mzuri wa maisha na kuzijua mbinu za kuishi nae [emoji28]
1: Hakikisha usitumie simu zaidi ya Elfu 50
2: Hakikisha huna suruali zaidi...
Tunaelekea kuumaliza 2021 na kuingia mwaka mpya 2022, ni matukio mengi sana yametokea mwaka huu mazuri na mabaya, na mengine yameacha alama maishani mwako.
Je, ni mambo gani utaendelea...
Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia baadhi ya majina ya humu ndani.
Kusema ukweli Kuna baadhi yanafikilisha Sana na wkt mwingine hata kabla ya kusoma Ni nini mhusika kapost utabaki unacheka au...
Amna aja ya kusalimiana tutasalimiana ata kuzimu .
Nianze na msala ulio nikuta. Nilikuwa natoka kwenye mishe zangu za mihangaiko nikapita kwenye kahoteli kamoja ambako nimekazoea niweze kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.