Salaam/Shalom.
Kuna hili suala huwa linanishangaza sana, utakuta unamsalimia mtu halafu matokeo yake huyo unayemsalimia utakuta anakuangalia tu.
Huwa najiuliza sana hili swali, hivi mkijibu...
Wakuu habari.
Nikiwa naangaika na kupata usingizi basi namuona paka hapa amelala. Nawaza, mfano nikamchukua nikampeleka nchi za mbali mfano Russia akakutana na nyau wa kule, je wataelewana zile...
Mwaka 1998 nilipigwa roba ya mbao mchana kweupe. Ilikuwa ni Mwananyamala, nina backpack 🎒 naenda kwa Taki Mdeng'o shosti wangu kumringishia visa yangu ya USA 🇺🇸.
Safari na ndoto za kuingia nchi...
Tarehe kama ya leo 26 Nov Mkoa wa Kilimanjaro ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini. Kijiji kimoja cha kuitwa "masama" baba na mama wa CONTROLA walibahatika kupata mtoto wao wa kwanza waliempenda...
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila...
mahondaw since you came into my life my days are filled with happiness with your sweet eyes I calm the despair in my heart with love. A smile from you is the best medicine.
mahondaw you know...
Wakuu poleni na majukumu, dhumuni la Uzi huu ni kutoa updates mbalimbali za sikukuu ya Krismasi kwa watu waliopo Kilimanjaro, hivyo wale wenye picha mbalimbali mnakaribishwa.
NB: Mimi bado...
Vizuri havidumu, miaka ya 2010s Huu mtandao ulikuwa ukitoa net ya Bure kuanzia saa nne usiku Hadi saa 12 asubuhi.
Wakati huo nlikuwa natumia modem nakesha fb, nimecheki sana sites za mapenzi...
mahondaw I still remember the first day we met, you were too shy to say much at all...
mahondaw remember the first day when I saw your face, remember the first day when you smiled at me i stepped...
Bila shaka kuna watu hatuko nao leo hii ikiwa bado mioyo yetu inawaitaji,
na kwa sababu mola ameamua kuchuka mavuno yake hatuna budi kukubali ukweli.
Je kama mbinguni kungekuwa na Simu...
Bukoba mjini bwana,,hakuna bar nzuri zenye totos kama maeneo kama mwanza ..busereser au biharamulo..Bar wanazosif ni Q bar au skyway au kishari lakini nimeangaliwa wahudumu ni wazee wa miaka 50...
Habari za mda huu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nimekuwa nikisumbuka sana juu ya laini yangu ya tigo kutopatikana na iko hewani.
Watu tofauti walipokuwa wakinipigia...
Kama unavyofahamika na wengi mfuko wa shangazi kaja hutumika kwa kubebea vitu mbalimbali either bidhaa ndogondogo za majumbani, sokoni, madukani n.k
Lakini tuambizane kwenye upande wa fedha...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna mwanamke wa mtu hapa mtaani ananipenda sana anasema yupo tayari aachane mumewe ili aje kwangu na ukiangalia mumewe ni mwanajeshi na mimi nimemwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.