JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea🙏 Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..🤔🤔 Mpenzi msomaji siku kadhaa...
21 Reactions
153 Replies
7K Views
Kwangu mimi I like MONEY and i dislike not havin MONEY Pliz don come and stress me Vipi kuhusu wewe?
3 Reactions
15 Replies
631 Views
Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada...
3 Reactions
6 Replies
981 Views
Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani! Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!. Ningependa nikutakie heri ya siku yako...
8 Reactions
82 Replies
4K Views
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu. Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndo nimefika survey hapa naona maandalizi sio mabaya, kreti za bia zinaingia ndani tayari kwa kupangwa kwenye fridge and freezers tayari kwa chit chatters jion hii.. Mbuzi na bata kazaa naona...
6 Reactions
499 Replies
25K Views
.
1 Reactions
7 Replies
859 Views
Habari za weekend na familia zenu? Swali langu kwa wanawake. Je ushawahi toka out na boyfriend wako au mumeo na wewe ukawa sterling katika kulipa bill's? Je ulijisikiaje? Muwe na siku njema.
1 Reactions
12 Replies
671 Views
Hivi unaamini unyenyekevu (humility) ndiyo silaha kubwa ya kufanikiwa kwenye LIFE? Mimi niko 50/50 bana 🙂🙂🙂
1 Reactions
1 Replies
519 Views
Tulio apply Green card tujiandae kwenda USA mwakani, najua tutashinda watanzania wote tulioapply, Mimi nitakwenda kuishi Jimbo la South Dakota, wenzangu mtaishi majimbo gani
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Morogoro is a sleeping giant, Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Name one thing you want to try in the bedroom I'll start , getting a full 18 hours of sleep 😅😅😅😅
2 Reactions
10 Replies
704 Views
Mzazi anayepeleka mambo ya chumbani sebuleni au nje huyoo hafai kuitwa mzazi ila atakuwa mzaaa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna familia ambazo tokea kitambo zinaendelea kufanikiwa kiuchumi na masikini/choka mbaya hadi leo ni hivyo hivyo?
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Uroho, Uchoyo, Roho Mbaya, Wivu. Uchawi, Chuki na Unafiki? Kazi kwenu katika Kunidadavulia hapa.
2 Reactions
8 Replies
608 Views
Vile ngoma zinapigwa mitandaoni na wabunge wa CCM kuzicheza Bungeni bila hiari yao![emoji16][emoji16][emoji16]
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Inaumiza Sana Kuona Tumefika Stage Ambayo,👇 Tunashindwa kuamini watu,kwa kuhofia kusalitiwa na kuonekana wajinga. Tunaogopa kupenda kwa kuhofia kuumizwa. Tunaogopa kueleza hisi zetu,kwa kuhofia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Memba anayependwa na wakati huohuo uonewa wivu GENTAMYCINE ameanza kupevuka kiakili maana nyuzi anazoweka jf sasahivi ni konki na fikirishi kinoma. Nachukua nafasi hii kumpongeza kwa kuanza kujua...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Okay, Kuna jamaa yeye huwa anafanya kazi akiwa na shida ya hela akipata hafanyi mpaka ziishe yaani anaweza nunua tv, sofa na kitanda lakini pia akanunua mahitaji ya nyumbani, basi anaweza kaa, kaa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom