JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza kampuni moja imejitokeza na kutaka kuandaa vita vya amani kati ya wapare na wachaga. Kampuni hiyo inayomilikiwa na boss mmoja wa kipare iliyosajiliwa nchini Norway...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza kabisa 1. Chekereni: hili lilitokea na neno "chek rain" eneo lina maji mengi sana sina historia ndefu na eneo hili, wajuzi watanisaidia. 2. Maimoria: hapa ulikua uwanja wa Stefano...
6 Reactions
30 Replies
7K Views
USIKU UMESHAINGIA SASA, WACHA NILE ZANGU ANDAZI MOJA ILI MINYOO ILE ILALE IKISHALALA NDIO MIMI SASA NILE WALI NYAMA NILALE.:p:p
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi jirani Mmehamukaje huko?
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Maongezi kati ya Mama na binti yake Binti; Mama leo nimemkomoa Juma, si ulisema akija nisikubali kupanda juu ya mpera kwasababu nia yake ni kunichungulia nguo ya ndani? Mama; Nikweli kabisa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Unatafuta mtoto kwa muda mrefu, siku uki-cheat tu mimba inaingia
13 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama inawezekana mapenzi bila kuvuana nguo hadi ndoa Basi Pia inawezekana mapenzi bila kuombana hela hadi ndoa Naamini tumeelewana Naomba kuwasilisha
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Umuofia kwenu? Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu. Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimegundua kitu watu huwasilisha ujumbe kwa kupitia profile picture zao,na moja kwa moja aidha ujumbe husika mara nyingi huwa unamhusu mtu husika. Kinaweza kuwa kitu unachokipenda au ambacho...
13 Reactions
122 Replies
8K Views
Kiukweli kuna wadau wa hapa jf ambao ukiwakosa kwa muda mrefu lazima ujiulize. Huyu Return Of Undertaker amepotelea wapi?
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimegundua wote wanaogawa hela kwa kutupa kwa mashabiki kwa asilimia kubwa kama sio wote duniani, ni watu wenye asili ya kiafrika (watu weusi). Sijajua kwa nini sisi weusi tunakuwa na akili za...
2 Reactions
13 Replies
972 Views
Kiukweli nimekumbuka sana Kalenga kwa Chifu Mkwawa. Hivi huko kwingineko duniani kuna kinywaji bora kama Tanzania One Ulanzi Kinywaji cha asili bamboo juice tofauti kabisa na mbege
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika...
2 Reactions
0 Replies
417 Views
hello,jf naomba mniambie sifa za wanaume wachaga wa kibosho
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Kama ulimwengu ukibadilishwa na kuwa quantified kama computer data, je, ni taarifa kiasi gani zingehitajika kutengeneza programme ya kugenerate ulimwengu, in terms of GB?
0 Reactions
2 Replies
611 Views
Wakulungwa huyu paka amekuwa maarufu Sana MITANDAONI kiasi kwamba siku haiwezi kuisha bila kukutana naye. Kama umekutana nae huyu msela paka, TUPIA picha yake tuone ni maswaibu gani yanayomkuta.
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naleta kwenu ombi langu. Natafuta marafiki wa kushare nao ideas kuchat nao, kuhang out; yaani kupeana company kwa kweli nmechoka kuwa mpweke. Naomba km uko ready slide my PM...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuumuua mwizi aliyekuja kuvamia kwako aibe ni ubinafsi na inaonesha jinsi ulivyo na roho mbaya, unaendekeza mali kuliko uhai wa mtu.
2 Reactions
6 Replies
866 Views
Back
Top Bottom