JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya siku yenye msongamano wa mambo tafadhali punguza msongo wa mawazo hivi 1. Mabata madogo madogo yanaogelea, yana ogelea, katika shamba zuri la bustani. 2. Yanapenda kutembea bila viatu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kupiga funda mbili za kinywaji kilichopo mbele yangu, nainua macho taratibu kuangalia uelekeo wa mlango wa kuingilia ndani ya eneo/ ukumbi nilimo. Ghafla namwona dada mmoja mrefu wastani...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Huu Ni uzi wangu maalumu kwa ajili yangu kupost kila jambo nitakalokuwa nalifanya katika dunia ili kuweka kumbukumbu ya safari ya maisha yangu na jinsi ninavyopokea maelekezo kutoka kwa...
13 Reactions
295 Replies
28K Views
Uzi kuwa na 'replies' nyingi zaidi ya 'views'
2 Reactions
15 Replies
639 Views
Kidogo shule na hesabu ilinipiga chenga hii ni shilingi ngapi ya kitanzania inasomeka kama shilingi ngapi ya Kitanzania? Tsh 16,652,246,906,926.83 Inasomekaje kwa maneno? Nimeshindwa kwa kweli
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu Kama nilivosema hapo juu mimi huwezi kunifucha kitu msione nimekaa kimya lakini mambo ya safari za kutoka Dar hadi chalinze naujua na kila kitu nakijua. Mimi nilitembea na mke wangu kutoka...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Feminists lazima wataleta vita. Here
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Nilipo kuwa mtoto kipindi kile cha 2011 nilitokea kumpenda Saana uyu mtoto wa kike. Sasa nimekuwa, bado mapenzi yangu Yako pale pale i want to be with this Girl in my life. Please Who can help me...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana JF je ulivyokuwa mtoto ulikuwa na ndoto nyingi na kama ndio ni ndoto gani mpaka sasa umetimiza, binafsi mimi nilikuwa natamani kucheza mpira bado naendelea kucheza.
1 Reactions
14 Replies
603 Views
Msaada ndugu zangu Kwa anayejua hii mall iko wapi Naomba anielekeze inaitwa AURA MALL
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi humu hatujuani lakini tunafanya imagination tu kwamba mtu fulani atakuwa wa ivi sana sana imagination inakujia kutokana na majina wanayotumia watu, avatar na michango ya mhusika. Leo...
18 Reactions
732 Replies
29K Views
Yaan hapa nimechanganyikiwa hatari Nilikuwa natoka natoka hapa mitaa ya mabibo hostel naelekea riverside.mbele kidogo nikaona kifungashio cheusi kando kidogo ya barabara kinaonesha kama kina kitu...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukipendwa pendeka Ukiumizwa usipende tena ili uumize na wewe Usiposamehewa samehe na usahau.
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion ) Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Ingekuwaje kama... 1. Binadamu akila chakula mara moja halitena mpaka mwisho wa maisha yake 2. Muda wote upo macho hamna usingizi 3. Jua wala umeme haupo duniani 4. Viumbe wote ni jinsia moja...
1 Reactions
6 Replies
775 Views
Niaje wakulugwa.....!! Baada ya changamoto za maisha nikaamua kukimbilia mkoani kujipanga upya sasa maajabu niliyokutana NAyo yaan watoto woooote wazuri washazalishwa teNA mapema saana. Mfano...
0 Reactions
2 Replies
472 Views
Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau sijui mmwliona hili yaani jijini Dar Magari ya aina ya IST na HARRIER BLACK yamekuwa mengi sana jijini Dar..we chunguza utashangaa..cijui kuna nini
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...😊😊 Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa 🧚‍♀️🧚‍🧚‍♀️. Nirudi kwenye kichwa cha habari sasa😁😁.. Aise wakuu bhana kila nikinywa...
10 Reactions
188 Replies
8K Views
Our mothers having fun at the market.
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Back
Top Bottom