JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Maisha ni duara ni vema uwe na UMAKINI kwa kila jambo ulifanyalo au kusema ama kutenda.Kwani asilimia TISINI ya mafanikio yako upitia mikononi mwa watu wengine. Siku ukikosa kuungwa mkono na watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊 Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁 Sawa turudi kwenye mada husika. Ni kwa muda kidogo nime kuwa...
12 Reactions
145 Replies
7K Views
Hata kama una pesa nyingi au mafanikio makubwa jaribu kutumia hii mbinu mojawapo ili uweze kuishi vizuri na watu, kujishusha na kujiweka sehemu ya jamii yao. Jaribu kuwakopa pesa ndogo ndogo wale...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wana MMU Je, wewe mwanamke wa JF ni angle gani upo vizuri katika mahusiano kama vile kupika vizuri, kujari, kupiga vizinga na nyengine nyingi na wanaume ni angle gani unatamani sana kwa...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Mimi niko na shida niko na rafiki yangu yaani anaweza kukwambia kitu halafu ni cha kweli ukimuuliza anakwambia ni ndoto zangu huwa naota ni za kweli. Kwa mfano nilikua naumwa sikumwambia...
2 Reactions
4 Replies
543 Views
Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya...
1 Reactions
5 Replies
622 Views
Peppermit ipo hewani ni revenge ya nguvu baada ya wqzazi wa starring kuuwawa. Lakini kikubwa ni balimi kushuka kwenye koo huku usungizi ukijitafuta taratibu. Viva Balimi Extra lager.
0 Reactions
3 Replies
525 Views
Tumshukuru Mungu kwa pumzi hii na riziki anazotupatia. Mnamo tarehe 28 September niliweka Uzi hapa JF nikimuulizia na kumtafuta mwanachama maarufu Bw. GENTAMYCINE ambaye happy awali sikuwahi...
8 Reactions
68 Replies
4K Views
Kuna sehemu nimeisoma hii; kutokana na takwimu wanaume wengi hutoa fedha nyingi benki siku ya ijumaa, na wanawake wengi hupeleka pesa nyingi benki siku ya jumatatu. Hii kimahusiano imekaaje wakuu?
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Leo jamaa yangu ameniboa, tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu, hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini? Je, ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Mie nina swali nauliza Eti ni kweli kuwa mtu mwenye mwandiko mdogo ni mchoyo? Na kuna uhusiano gani kati ya mwandiko wa mtu na tabia zake?
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Binafsi napenda sana mvua. Kuna amani fulani huwa naisikia mvua ikiwa inanyesha. Hata ile harufu ya udongo mvua zinapoanza kwangu ni burudani kabisa. Nifahamu kuwa wanaopenda mvua wanaitwa...
6 Reactions
7 Replies
895 Views
Wapendwa, mkiona nimekuwa kimya msidhani nime R.I.P. Nitakuwa nje ya jukwaa kwa kipindi fulani ili niweze kujikita katika kumalizia masomo yangu ngazi ya masters! Hapo awali, nilipata ufadhili...
2 Reactions
11 Replies
847 Views
wadau maisha yana kwenda kasi !. pesa ngumu na mambo ni magamu,mrejesho utakuja kwa tuma na kutolea
1 Reactions
17 Replies
963 Views
Uzi tayari
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Moja wapo ya eneo katika utandawazi linalo kuwa kwa kasi sana hapa nchini basi ni utandawazi wa teknolojia ya simu, na moja wapo ya simu zinazoenea na zenye soko sana hasa maeneo ya mijini ni...
1 Reactions
4 Replies
821 Views
Kama umesoma umbwe secondary njoo tukutane kubadilishana mawazo. Mkuu wa shule wa sasa ni :Zephania .E. Japhet Makamo wake ni :Jopa (jina lake maarufu) Taaluma:madam ZENA NA KIURE Karibu we...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wana jf je wewe mdau mwezangu ushawai kuwa kiongozi katika mazingira fulani iwe shuleni ,kazini au sehemu yoyote tupe experience yako,binafsi katika elimu ya sekondari nilikuwa kiongozi.
1 Reactions
105 Replies
3K Views
Back
Top Bottom