Kama mnavyojua maisha ni safari ndefu sana yenye mabonde na milima lakini katika maisha kuna muda ukifika ni lazima ujifunze kufanya maamuzi magumu ambayo yatabadilisha maisha yako bila kujionea...
Maeneo mengine duniani, kuanzia tarehe moja mwezi ujao wanakuwa wako mapumzikoni na wapenzi au wapendwa wao; kwa waliojipanga vizuri, wataenda hata nchi ya mbali akiwa na mwenzi wake au familia...
Wala sihitaji kuwasalimia, baadhi yenu mnatukera hasa sisi tunaoishi kwa Mpalange, kila jambo baya kwa Mpalange. Yaani ukisema unaenda kwa Mpalange jamii inakuchukulia tofauti.
Sasa naomba...
Ukitaka kujenga kiwanda cha Pombe nenda Moshi, utaokoa gharama kubwa za usambazaji.
Jafari Shekanabo Shekifu na Mrindoko Mchome Senkoro walijitolea kukusanya damu nchini kusaidia vitengo vya...
Mimi na kumbuka mwaka 2001 ulitokea mgomo shule FFU/Polisi walikuja watu tukakimbilia poroni tulilala kule Hadi asubuhi.
Mwalimu naemkumbuka Sana;
1.Mwango boy
2.Danda Kosovo
Na yule dereva wa...
1. Ukiona mdada mzuri sana mtaan au uswahili anafanya kazi haieleweki ama kazi ya kuumiza au kuungua sana na jua. Jiulize maswali mengi sana wengi wanakua ni lost souls either kaungua ama alipata...
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama...
Ifuatayo ni hadithi ya mapenzi, ikimhusisha msichana Mwasiti na watu wanne wa taaluma tofauti; mwimbaji, mvuvi, mganga na mwindaji. Waliishi kijijini kando ya mto.
Mwasiti kijijini alipendwa kwa...
Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza,
Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na...
Wakuu,
Hapa tufanye challenge kidogo, ambaye comment yake haitokuwa na reply kwa siku nzima atapata vocha ya 10k. Sitanii
Twende kazi
nb. mpaka sasa sijaona reply empty bila kupata reply ya...
HABARI
Wadau muwazima
Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi
niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji...
Mambo niaje wanaJF ni matumaini yangu nyote ni wazima na wasio wazima basi twazidi kuombeana.
Basi bila kupoteza wakati sote tunajua katika maisha kuna wakati hutokea tuu inakubidi ubadilike ili...
Leo Ratiba iko very simple.
Nikianza na code leo natupia kipensi fulani afu juu namaliza na form six rangi white Sasa chini nakupigia socks yenye rangi ya mjani chini kabisa sendo brand Nike aka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.