Shemiji anaweza kuwa mke wa Kaka yako au nduguyo, pia dada zake na wadogo zake ni mashemeji.
Binamu ni mtoto wa mjomba au shangazi.
NB:- HAWA HUGONGWA KIMASIHARA
"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status...
Naingia Mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio...
Hope mu wazima. Kwa sie wakongwe ni wapi viota vizuri vya kubarizi? Wakati mwingine katika umri huu kuanzia miaka 35 na kuendelea bila kubagua jinsia tunahitaji tena kurichaji mbongo zetu...
Hivi umewahi kugundua kuwa kuna wengi ambao wanajua UWEZO na WEMA wako ila hawakutaji kabisaaaa!!!.
Ila kuna wachache ambao wanajua baadhi ya MADHAIFU yako na MABAYA yako na wanabidii sana ya...
Heri ya uhuru wa Tanganyika watanzania wenzangu. Basi Leo niambie mwenzangu siku hii unaisherehekea ukiwa wapi? Tupia na kapicha basi tufurahishane.
Me imenikuta nikiwa hospitalini ....
Karibuniii...
Wakati tukienda mwisho wa mwaka 2021 na kuanza mwaka mpya wa 2022 sio mbaya tukishare mitazamo juu ya maisha yetu binafsi especially kwa kipindi kijacho ili kupeana motisha katika kutimiza malengo...
Kuishi kwingi ni kuona mengi na katika kuishi kwingi mtu anajipata anafanya makosa yanayoadhibu na wakati huohuo yanayokumbusha kuwa wakati mwingine anapaswa kuwa makini afanyapo maamuzi kimsingi...
Kuhusiana kichwa habari hapo juu, Msweet kama upo humu JAMII FORUMS naomba tuwasiliane kupitia DM.
Usinielewe vibaya, kuna uzi uliutoa siku za nyuma siku za nyuma nimeuona siku za karibuni...
Hello there.
Tarehe na mwezi kama wa leo The First Causation teamed up with my mom to create me. It was a privilege I didn't asked it I was in the cosmic gateway of Uknown and known.. just like a...
Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msichana ya kuvutia lakin kabla hajasema shida...
Baadhi ya wazee wa Machame na wengine kutokea Boma ng'ombe watakuwepo Dar es salaam wakati wa Christmas na Mwaka mpya kwa kile walichodai kuwa ni kula sikukuu na kijana wao ambaye kwa mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.