JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi guys, Mambo vipi? Mada inajieleza. From other social network. Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha Twende kazi na wengine.
0 Reactions
17 Replies
924 Views
Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello members! Bila kupoteza Muda naomba tutoe taabu na matatizo ya jirani zetu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaudhi na kuboa sana . Hii itasaidia pia hata sisi wenyewe kujihoji na kujua...
13 Reactions
594 Replies
33K Views
[emoji23][emoji23]mimi sijui[emoji23][emoji23] .....nani mkubwa?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi? Mwanzoni mwa mahusiano alikua hawezi hata kumaliza kuku robo lakini sasa anafanya league ya ujerumani mezani nikipinduka kidogo nikija kurudisha macho kwenye bakuli nakuta samaki kaisha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mfano jamaa akitoa msaada kwa kila mtu wealth ya 1B $ bado atakuwa tajiri namba moja duniani na wewe hali uliyonayo utabaki nayo hivyo hivyo kwa kuwa tutakuwa tume add 1 kwa kila mtu...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa dar wananchi wanakula raha sio mchezo. Nimeanzia maeneo ya banana Ukonga Tabata mbezi bichi mikocheni na kinondoni kwa kweli wananchi wanafuraiya maisha. Huu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wasalaam wanajamvi, hope mu wazima Leo nimeona nigusie jambo moja ambalo Kila kiumbe chini ya jua anapendelea kuwa nayo. FURAHA naam FURAHA ile hali unayoipata mara baada ya kufanyiwa au kupewa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana mida ya asubuhi hata chai sijanywa nikapita shop nikanunua pombe Kali yenye alcohol 35% nikawa nakunywa mdogomdogo naelekea kazini baadae mida ya saa tano nkatoka kazini nikarudi kijiweni...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Kuku anahudhuria matayarisho ya mazishi yake!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za saivi mabibi, mabwana, vijana, mabinti, wazee n.k Binafsi nilikuwa naplan ya kuoa mwaka huu lakini nimefeli na kwasasa sina mchumba wala msichana yeyote yaani nipo Single. Wasichana...
3 Reactions
14 Replies
857 Views
Nimefika Ofisi moja hapa DSM. Nimefika na kumsalimia dada mmoja ambaye ameinamia kwenye simu yake muda wote...nami nikakaa reception namsubiria ndugu yangu anipe connection. Dada akanicheki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Usikubali ugumu wa maisha ukufanye utumie mwili wako vibaya. Usikubali kuutumia mwili wako vibaya kwa ajili ya matangazo ya kibiashara. Leo wewe ni mdada hauna famiia siku zaja utakuwa na familia...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Je ! hii Order ya Mungu tuna itekelezaje?? Maana kuna mwanamke ana uwa kila baada ya Mwaka Ukoo unaisha na kila mtu ana mjua na yeye mweyewe ana wambia watu wata mtambua.. na akisha kwambia hivyo...
0 Reactions
3 Replies
462 Views
Je ! hii Order ya Mungu tuna itekelezaje?? Maana kuna mwanamke ana uwa kila baada ya Mwaka Ukoo unaisha na kila mtu ana mjua na yeye mweyewe ana wambia watu wata mtambua.. na akisha kwambia hivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma. Mjue tuu nyie ni wa thamani sana Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani...
27 Reactions
61 Replies
4K Views
1 Timothy 5:23 "No longer drink only water , but use little wine for the sake of your stomach and frequent ailments." Whatever you are going to do with that information, is not my problem.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza apo juu. Kama unaswali lolote kuhusu wanaume dondosha hapo chini watakujibu. Twende kazi [emoji116]
5 Reactions
502 Replies
50K Views
Back
Top Bottom