Ishakuwa tabu mjini.
Gari tajwa inahitajika, kama unayo tafadhali karibu PM au weka namba nitakupigia… hata kama wewe ni dalali usiwaze pesa ipo.
Only shortlisted serious dealers will be...
Huu ni utafiti rasmi uliofanywa na Shirika la Chitlliysous Consulting Inc. kwa kuanzia Mwezi January to May 2021 juu ya ukaazi wa members wa Jamiiforums.
Sample size na vigezo vilizingatiwa...
Wakuu hii ishu nimeipokea kwa furaha sana. Jana usiku sijalala usiku kucha nawaza niwajie na idea gani katika shindano letu.
Ila tambueni sisi na wafuatao sio wajinga tutakuja na ID nyingine coz...
Toa 100000 kwa tozo ya shilingi 10000.. bonyeza
1.kuthibitisha
2.kusitisha
3.Lia.
Ikibidi namba nne watuwekee
4.fumba macho kuthibitisha
5.tuma na yakutolea au tukate juu kwa juu.😂
Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua.
Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya...
Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend.
Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana...
Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo...
- Judgement azua kizaazaa baada ya Madame B kutoka chumbani na ch..u..,p,y mkononi akimkimbia,,, hakatwi mtu hapa
- baada ya kupokea vijisenti vya kustaafia Baba V aonekana akiwapanga...
Yaani watanzania wana roho mbaya nyie. Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi. Acheni hii tabia itawacost nyie. Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost...
Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli.
Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
Nawapenda Sana simchukii mtu hata mmoja kwa sababu nawajua member watatu tu katika jamiiforum.kuna mabadiliko nayotaka kuyafanya Hapa ulimwenguni yakihusisha Zaidi maisha yangu ya kiroho, kimwili...
Wakuu,
Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa)
Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni...
Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli...
Wakuu leo asubuhi nilikuwa na hamu na zaga sasa nikamcheki mtoto akasema jioni jioni atakuja.
Si ndio kuja kuingia JF kukutana na mastori ya town eti Kodi ya uzalendo aisee roho ikapasuka nahisi...
Tangu hii baridi ianze sijaona wale ma toxic female feminists wakisema kwa status zao eti men are trash, ama all men are dogs.... i guess sahii men wamekua blanketi ama duvet...
Even if who you...
Wadau kwema,
Ni ipi best ring tone song yako ambayo kunamda unapigiwa yani mpaka unatamani hata uache simu iite kwa muda kidogo ndo upokee yani[emoji16]