Nelson Mwombeki
Mega Mind Nyerere
jonoma
witnessj
bigboi
steve111
Mchizi
kibenten
erickmandari
king kan
Mazikujohn
Innercore
The Icebreaker
rikiboy
mumu
yohana avith
Podcast
alben
lukinga01...
Moja kwa moja kwenye mada
Wakuu mimi kwa sasa niko singular so huwa nawaza kutafuta mamiloo wa kunipa kampani ila naghairi kwa kuanza kuwaza kuwa "acha nitafute kwanza hela"
Mawazo hayo ni kwa...
Mimi nakumbuka kuna siku nimeota nipo stend nasubiri basi ili niende mkoani..sasa nikasemaa ili nisiwasumbue waatu njàni nikaenda kukojoa kabisa ili nikikaa kwenye gari ni moja kwa moja.
Duh...
Sema kweli mwaka huu 2021 sitarudia tena uzembe wa ku date na pisi za kawaida sana! Nataka challenge mpya nataka nichukue pisi Kali tu na ikiwezekana mmojawapo nivute ndani kabisa!
Mtaji ama...
UKWELI WA MAMBO........ I had a busy day leo mpaka basi ndo maana mnaona sikuapprove comments zenu. I was just sooooo busy...... Ila sasa hivi nimetulia nipo ndani ya ndege na...
Fanta alizaliwa katika familia duni mno. Baba yake alikua mlinzi, katika harakati za kuhakikisha hawakosi chakula nyumbani mama aliuza matunda mchana.
Fanta alikua na uzuri wa ajabu alikua na...
Hela zinakufanyia nini sio unaweka hela chini ya mto, unalala njaa wakati hela ipo hata kununua sembe unga unashindwa.....huu usemi mzuri sana utumie katika biashara zako waambie wateja nawe utatoboa.
Heshima kwenu wadau.
Nimekuja kukuonyesha na kukupa miongoni mwa nyimbo zilizotamba miaka hiyo. Miongoni kuna hadi nyimbo za kwanza za baadhi ya wasanii.
Wengine hawatakuja kutoa wimbo mkali...
Happy new year guys nashukuru Mungu nimeona 2021 kwa neema na nimeingia 2021 kwa kuanza na Mungu nimepokea mwaka mpya nikiwa kanisan naposali "Reality of christ ministry Sinza Mori"
But well...
WAKATI MWINGINE KAA KIMYA:
1. Kaa kimya unapokuwa na hasira.
2. Kaa kimya unapokua huna uhakika wa unachokitetea.
3. Kaa kimya unapokuwa hujathibitisha ukweli wa unachotaka kukisema.
4. Kaa kimya...
Mda mchache nimetoka kutuma M-pesa kwa mdada amabye tumejuana jana tu kwa Instagram, sasa nimemtumia kiasi cha pesa Tsh10k. Tangu asbh ya saa 10am sasa nashangaa kila baada ya saa 1hr yeye...
Yaan wazee wa nyeupe kanikamata halaf anakuja huku anaongea na sim kabisa, eti usiweke tomato na asikauke, yaani kwahiyo anakamata gari huku ana uhakika wa hela yangu nayompa ndo aagizie msosi...
Me: hey
She: .......
Me: samahani kwa kukusumbua ilhali nafahamu kabisa unakimbizana na pilika za hapa na pale, kwa jinsi mazingira yalivyokuwa kwenye gari nilifikili kuwa isingekuwa busara...
Wakuu weekend hii imekuwa bomba sana hasa Tanzania kutembelewa na moja wa warembo wakali sana duniani namzungumzia Demirose, mrembo na model kutoka United Kingdom.
Tangu muda huyu mrembo alisema...
Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Hii ni orodha ya series zangu bora za muda wote nilizowahi kuona..I assure you ukiziangalia hutajuta.
1. Prison Break
Akili kubwa imetumika kutengeneza series hii Wentworth Miller katumia vizuri...
Tawireeeeeeee.........
Hebu jamani kabla hatujaenda kutambika tujiulize Mizimu ni nani haswa?
Mizimu Ni watenda dhambi wa zamani.
Walikuwa wafiraji, wachawi, wauaji, waongo, wagomvi, wazinzi...