Wakuu,
Kuna best yangu moja anaishi Mbande Mbagala majuzi mida ya saa 8 usiku kakimbia kwa miguu kutoka mbagala mpaka Kariakoo sokoni. Picha kamili ilikua hivi:
Huyu best yangu anakata sana...
Habari za humu ama za toka juzi jana na leo😜 leo nipo Ze club Musoma ghorofani nakula life tu nani kama mimi.
kama member upo humu nyanyua mkono kwa mbali mbali sema tu kwa nguvu zote piga...
Wengi walikuepo na wakaondoka Kama vile wakina nokia83,faizafoxy,Masai dada na wengineo Wengi tu Ila wote hao hakuna anayefikia viwango vya Mshana linapokuja suala la utu na uvumilivu hivyo ni...
Mwezi wa Saba mwaka 2020 ndani ya wiki moja nilimtumia mtaji wa sh 250/=Tsh nikasuka mkeka wa mechi 21
Total odds 69,000+
Possible won 36m
Kodi ya SERIKALI 7+m
Take home 28+m
Siku ya kwanza...
Tafiti: Watu wanaopendelea simu za iPhone ni wanawake wasio na wapenzi kati ya umri wa miaka 18-34 ambao mapato yao ni chini na huwa na elimu ya kiwango cha chini ikilinganishwa na watumiaji wa...
Habari za muda,
Kama kichwa cha mada kinavyosema.
Tupe list ya majina ya wasanii au waigizaji au watu maarufu wa3 kwa hapa bongo au duniani kote ambao unatamani leo kesho kuwa nao kimahusiano...
MAISHA NA MAAJABU YAKE
[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone
[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme
[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda...
Kuna sisi ambao tunarudi mashuleni kuanzia leo hadi juma tatu, kama watu wenye busara na fikra endelevu tushaurini vyakuvifanya ambavyo sio vya kufanya kwa mafanikio kujenga taifa amina :)
Nilikuwa Nacheck game ya Simba kwa baba mwenye Nyumba ambaye ni shabiki wa Utopolo FC. Nimeshindwa kushangilia maana baada ya goli nimeonekana na uso wa tabasamu,
Mara nikamwona kasimama kaingia...
Nakumbuka tulikuwa tumetoka Kibaha tukashuka pale mbezi stend kuu ilikuwa ni mida kigiza ndio kinachukua nafasi yake kuelekea kukamilisha siku
Sasa bhana tumesubiri zile coaster za kuja huku...
In two laguages make us happy.you have to think of it before. :)
Eg. How did an elephant tell to a naked man?. that how can you breath with that thing?
Habari yenu wazee wa kazi !
Bajeti yangu ya leo ! . . . .
Asubuhi SUPU YA KUKU WA KIENYEJI NA FANTA PINEAPPLE
Mchana MIHOGO YA KUKAANGA NAKITIMOTO NUSU
Usiku BIRIANI na PEPSI ya BARIDI
K ya...
habari zenu wana jamvi..leo nimekumbuka mziki wa kikongo ulivyotamba enzi hizo..bendi ya Extra musica chini ya Uongozi wa Rogaroga ilitikisa sana. Tukumbushane nyimbo zao zilizotamba tukianza na...
Nimezunguka
1, The Element
2, Havock
3, Maisha club
4, The Legend
But ninaona maDj wanapiga nyimbo za kubembelezana yani hakuna clubing vibes!
Kibongobongo baada ya kufa Bills na Savana ninaona...
Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.
Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,
Ataperuze picha kulingana na tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.