Watu wazima mtakumbuka!
Mkutadha wa mpira wa miguu uligunduliwa huko China!
Walikuwa wanacheza mpira wenye umbo kama la yai!
Hakukuwa na magoli wala jezi kipindi hiko, watu walitambuana kwa...
Habari zenu wakuu
Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU
Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro...
Angalia siku ya kawaida kwa Kiduku Lilo inavyoenda kama yanavyoeleza maelezo hapa chini.....
Unaamka asubuhi unawasha gari lako kama ni Range, BMW, Benz, Ford, Audi au Jeep... ambalo jana...
Nakumbuka siku ile umekuja nyumbani Massachusetts, kumjulia hali mzee baada ya kutolewa hospitali ya Hopkins alikokuwa amelazwa Ulitufariji sana familia yetu kwa ujumla.
Sitasahau ulipotusaidia...
Kila nikimtoa out mtoto wa kike kama sio mtumiaji wa pombe basi ataagiza fanta passion na kama haipo utasikia anataka mo passion. Kuna siri gani kuhusiana na vinywaji hivi vya passion ni kwamba...
Imagine
Vuta taswira
Siku itokee mamilioni ama ma elfu ya watumiaji wote wa jamiiforums wote tukutanishwe sehemu moja na kufahamiana.
Nani ungependa kumjua na kwanini?
Nani hutaki kukutana naye...
Haya mitano tena mmeiona? Hakuna hata mia ya kuhonga! Wanaume wanazidisha ubahiri wengine hata familia wamezitelekeza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitano tena....
Mjiandae kisaikolojia...
Waswahili walisema akunyimae mbaazi kakupunguzia mashuzi. Jana nimeenda sehemu usiku kwa mwaliko. Walipika Mbaazi.
Kwa kweli nlikula nikazipenda. Ila shughuli yake nimeiona usiku na leo hii...
Super tag hawa jamaa ndo mi nasema ni famous nilijiunga tu siku ya kwanza nikawajua!Ila inaonekana wako famous humu JF
Joanah
Use brain Heriel
Joannah
Scars
cocastic
Chakorii
Depal
Boeing 747...
Habarini wakuu!
Kwa wale wote waliobahatika kupiga shule ya pandahill apa mdio mahali pake sema lolote na nn unakumbuka na mwalimu gani huto weza kuja kumsahau mfano mm siwezi kuja kumsahau ticha...
Finally mwaka naumaliza vizuri kwa muvi safi. Nimeisubiria toka dec 2019 Hatimae imetoka 16 Dec 2020 wameipiga danadana sana loh. Kwa mwaka huu muvi ya Extraction bado ilikua inashika namba moja...
Juzi ijumaa nilipata mtoto wa kikwere kutokea Bagamoyo. Nilimnywesha pombe akawa chakachaka...hata mimi nilikua najikaza nisilewe ili nikaimudu kazi vilivyo. Tukanywa mtoto akalewa nyakanyaka...
Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.
Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi...
Watu wamekuwa wakila mboga kwa visingio mbalimbali, wengine wakisingizia hii sio mboga, hii ni mishikaki.
Wengine wanasema hii sio mboga, hii ni supu na wengine wanasema hii sio mboga ni nyama...
TWENDE SAWA.......
....................
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini...
-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
-...
Hi ni kutokana na kadi ya clinic majibu kuwa negative kwenye upande wa vipimo (nadhani tunaelewana). Wazee huwa tunapakimbilia sana hapo.
Usiku mwema wakuu
Wadau humu habari za saa hizi,
Okey jana bwana kuna kisanga kimenitokea kisa Kunywa pombe ila kuweka sawa tatizo hilo ni hivi Mimi huwa nikinywa pombe huwa napata vibe la hatari.
Yani nakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.