JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Hapo kipindi cha nyuma kidogo wana-JF walikuja na mtindo fulani amazing sana wa signature. Yaani ilikuwa ni kama title fulani inakaa chini ya comment, hizi title kwa kweli zilikuwaga zinaelimisha...
3 Reactions
6 Replies
673 Views
I mean socialism, or teach them how CCM wins election.
0 Reactions
2 Replies
427 Views
Wenye pesa wanakulaga tungi balaa lakini hawalewagi utakuta mtu anakunywa bia hata kumi anaishia kutingisha miguu tu uku stori za apa na pale zikiendelea sasa njoo kwa wale choka mbaya akipiga bia...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za muda huu great thinkers. Huu uzi naomba tufanye vitu vya kigreat thinking tuoneshe umwamba kwenye thinking capacity. Kinachotakiwa hapa ni kitu kidogo tu ni either kuandika neno ama...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo. Halaf nikamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana wamekuwa wakinisumbua na sms zao mara "soka letu,jibu machache uingie ujishindie kiasi cha tsh 22,000,00...manula ni A.kipa B.beki?? Mi kwa hasira nikawajibu "wasen...e nyie...
13 Reactions
18 Replies
1K Views
Je, labda huwa nakosea? Nikishasoma SMS nafuta, huwa sikai na SMS kwenye simu. Sababu ilikuwa ni jinsi navyojikuta nimetumiwa text nyingi na mtu ambaye naweza kuwa namfahaamu na nime msave kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna Mtu tokea juzi Watanzania tuliambiwa na Mnyetishaji wetu mwenye Nembo ya Kenya kuwa ana CORONA leo kaonekana Shamba la Mahindi.
0 Reactions
4 Replies
591 Views
Kudhurumu mabeki tatu...ni ushenzi Kufia gest na mke/mume wa mtu..... ni ushenzi Simu kuita kanisani...ni ushenzi Kwenda kazini huku umelewa...ni ushenzi Kumpiga sound anayekudai...ni...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
JamiiForums imejaliwa kuwa na warembo wengi lakini nimeona nichukue hizi sample mbil na watu mpige kura zenu ili tujue ni nani ataibuka mshindi. Mshindi atashindanishwa na Money Penny kutoka...
2 Reactions
165 Replies
11K Views
Leo ndiyo nimekumbuka hii ndo siku niliyozaliwa hii tarehe (according to matron alikuwa mtawa wa kike hapo nilipokulia), namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote kwa sikuu hii...
14 Reactions
106 Replies
5K Views
Nimesikia wanaostahili wote wameshaingiziwa. Hii inamaana gani kwa wale ambao bado?
0 Reactions
9 Replies
636 Views
Kuna makabila yamebobea katika kuharibu majina ya watu. Leo nimekumbuka William kuitwa Wile.
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Nilikuwa nafikiri ni propaganda lakini nimeshuhudia mwenyewe mwanaume akiita mhudumu wa mgahawa amsaidie kufukuza paka waliokua chini ya meza yake akipata chakula na anayeonekana mpenziwe...
6 Reactions
17 Replies
709 Views
Kuanzia harusi, kitchen party, maulid, birthday, kipa imara na kadhalika kwa pamoja tuje hapa tualikane siunajua undugu ni kujuzana na kupeana mialiko. Binafsi napenda sana sherehe yaani kwa wiki...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna mama mmoja hapa kitaani yeye ni mjamzito sasa huwaga kila nikipita lazima anisimamishe, siku ya kwanza nimepita akanisimamisha akaniuliza unatumia deodorant gani basi pasipo shari mimi kwa...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku? Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
What if kama inatokea member wa Jamii Forums tunatengewa mkoa mmoja wa Tanzania Kwa mfano, wautenge mkoa mmoja labda Ruvuma then watuhamishie huko ambako tutaishi members wa jf pekee...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom