Huu mtandao tangu nimeujua umenisaidia mno kunielimisha,kupata ushauri na kuniburudisha!
Jana nilikua home Sina kazi Kuna nyuzi mbili nilifumua nilipitia post zote kuanzia saa nne asubuhi mpaka...
Ebwanaaa eeh weekend moja kabambe sana ,kila mmoja anaianza kwa aina yake
Sisi wasakatonge tunaendelea kuchakarika kama kawaida,,, huku tunachokipata kikiwa ni kidogo kuliko...
Hii inawezekanaje nilipeleka maombi ya kazi taasisi fulani leo napigiwa simu kutoka hiyo ofisi baada ya habari naulizwa
“wewe ni mzazi wa mwanafunzi fulani”
Kuna mtu kanipiga ndagu nini...
Kwa viwango vyovyote ndugu Don Nalimison ni mtu mwenye akili Sana katika Karne ya Sasa.
Huyu mtu namfananisha na Tesla au Albert Einstein.
Mambo anayofanya ni ya kijinias kiasi ambacho jamiiforums...
Tukiwa tunauaga mwaka 2020 na kuukaribisha 2021 tuanze kabisa kutuma salamu za heri kwa tuwapendao na hata tunaowachukia..
1.Salamu zangu za kwanza zimfikie Paula Paul popote ulipo huyu manzi...
Kuna Huyu unamdai hakulipi Halafu bado hajijali anavuka barabara bila kuwa Makini, Mara anapanda bodaboda havai helmet, unaona kama Yupo Tayari kufa na deni lako, inauma Sana!
Habari za wakati huu ndugu zangu?
Niende kwenye maada moja kwa moja
Swala la kujilinda ni la muhimu sana kwa kila mtu tena ni jambo lililo jema kabisa ila sasa hivi kwanini condom hupenda sana...
Habari Za Jioni Wakuu, Poleni Na Hongereni kwa Majukumu Ya Siku Nzima Ya Leo. Lengo Kuu la Kuja Hapa Ni Kuwaomba tu Mawazo Yenu Juu ya Hili, Linaweza lisiwe Muhimu Sana Kwa Baadhi Yetu humu Ila...
*Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager
Injinia: habari mkuu
Tp: salama
Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki
Tp: Wewe ni nan
Injinia; mkurugenz wa gsm
Tp: gsm ni timu gan...
Binafsi nimewahi kukutana na majibu ya ajabu akijibiwa mtu na mengine nikijibiwa mimi.
Leo naomba tushee pamoja baadhi ya hayo na wewe utashea pamoja hapo chini.
Kuna siku nilipata kuona sehemu...
Leo niko bored na siku nzima
Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi.
Kwan jana tulipga mitungi had saa12! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana
Nifanyaje sasa...
Lawo Lari Mukdoren, tam bar baki diriana ate aqo muk do wak..akh ba uzirie oang king/kung amorta dahh laq dita hot ne tlahhay mese ti khuan way oryo.. Anu ba imboru hhay sulle.. a inslereake...
Watumiaji wa JamiiForums tujifunze kuwapa watu moyo.
Katika Afrika Mashariki JamiiForums ni jukwaa ambalo naweza kusema ni moto wa kuotea Mbali na hili jukwaa limefikia hapo lilipo kwa sababu ya...
Ni Tanzania pekee unamtambulisha rafiki yako kwa rafiki yako mwingine then boom wanakua mabestie kukuzidi alafu wanaanza kukusema wewe na ukoo wako mzima.
Kulikuwaga na mdada mmoja kwa ID ya emmyta ( kwa sasa hayupo kabisa haonekani na hata id yake haipo kabisa tena humu jf) nadiriki kusema alikuwa mdada aliyekuwaga na busara ya hali ya juu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.