A teacher asked her students to use the word "beans" in a sentence.
"My father grows beans," said one girl.
"My mother cooks beans," said a boy.
A third student spoke up, "We are all human beans."
Habarini wakuu, poleni na majukumu kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, hii ndo valentine yangu ya kwanza kua peke angu kutokana na Majukumu hasa kipindi hiki cha uchumi wa kati.
Hivyo basi...
Wadau natumaini mko poa, kuna hii kauli inazagaa sana kwenye social media hasa humu "jf" utaskia mtu anakoment jambo fulani mwisho anasema "MITANO TENA " kwa nnavyofikir mmi kauli hii kama vile...
Leo tangu asubuhi nimepiga mishe mishe lakini
zote zimebuma nimejikuta nakosa hadi hela ya
kula mchana
Nikaona ngoja nimpigie simu Jimama wangu
anaitwa Mama Salima ana Mgahawa huku
mtaani ila...
Chama Cha UMOJA wa wanaume bahiri Tanzania(UWABATA) tumekosea kusajiliwa rasmi na kutambukika kisharia kwasababu ya ukosefu wa tsh 20,000 tu.
Chama bado kinashughukia hili suala kwa ukaribu zaidi...
Habar wadau nilikuwa nasoma ule uzi wa jinsi ya kupangua mizinga nikajifunza kitu kumbe kuna jamaa hataki kunipa pesa yngu ananikwepa tu sasa nikaona nike na hii thread hasa kwa sisi ambao bado 2...
Kuna Ka interview fulani inabidi nikafanye ni kazi isiyo na maslahi sana pia kuna position za manual work ila mtaa ulivyoneonesha rangi zakila namna inanibidi tu nijiandae na msuri mnene kama...
Katika ofisi za maboss wakubwa huwez kukosa vinywaji vikali vikali ukifika waiter anakuja utakachoagiza kinaletwa yaani Kama vile upo hotelini..hii Ni kwa sababu ma deal yanayozungumziwa ofisini...
Napenda jinsi majina ya sinema za kitanzania yanavyotoa tukio zima la sinema
Utaskia
"mwimbaji wa injili aliyepigana na simba alimuoa binamu yake baada ya kurogwa na mjomba wake PART 2"
daaah...
Ndugu zangu
Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker?
Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala?
Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST...
Ukweli mchungu, ila tokea utambulisho wa simu janja(smart phone) kwakweli kuna baadhi ya mambo/vitu vimeanza kukosa ushabiki kwa kasi ya hatari sana.
Ni ukweli usiopinginga vitu kama kuasikiliza...
Twende kazi leo tujue kama text huwaga zinafananaga angalau kwa watu kadhaa ama kuna watu wanatumiwaga text za kipekee, kila mtu angalau aseme text yake ya mwisho kuingia kwenye simu inasemaje iwe...
Jamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari castle kili then anatafta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii...
Heri ya mwaka mpya
Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.