Hello JF,
Shemeji angu(mke wa mshikaji angu)kaja kunishtakia kuwa jamaa angu ana tabia mbaya sana inayomkera,tabia yenyewe ni kwamba jamaa ana tabia ya kudokoa mboga jikoni.
Kesi kama hii...
Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku.
Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf...
Hili suala Serikali iingilie kati ili kuokoa madhara ambayo yanaweza kuja tokeo siku za uson.
Kumeanzishwa harakati za kutupaka matope,kutupaka choo,kutuua kimaneno,kutudhalilisha na kututweza...
Hebu vuta kumbukumbu zako ilikua mwaka gani ukiwa katika ubora wako? WAHENGA WENZANGU NJOONI TUKUMBUKENI YA ZAMANI. Hawa wa INTERNATIONAL SCHOOL TUACHENI KWANZA.
Asikudanganye mtu wala kukutia moyo, kama wewe huna gari hata kama ni mkweche unahesabika ni fukara tu hata kama una nyumba 50, tafuta gari upate amani ya moyo na heshima kwa wakwe hata kama huna...
dah bad day siku mbaya
Asubuhi nimegombana na mpenzi ,nimeenda kazini nimegika getting nikagombana na mlinzi , nimeanza kazi nikagombana na boss nikatoka nikaenda bar nikagombana na wahudumu ...
Mambo vipi?Jamiiforum ndo mahali great thinkers wapo wataalamu wote tupo huku na si tunaipenda Sana hi brand jf ndo inayotukuza tunaiamini Sasa kwanini tusiwe tuna weka pesa tunachangia hata buku...
Kila mtu anapambana na life lake kwa sasa.usiogope Sana kuhusu taarifa za vifo maisha bado yapo Sana Cha msingi simamia Lile unalofanya shikamana nalo Kama una biashara au kazi endelea kuumiza...
Moja kati ya vitu vinavyonivutia Duniani Ni pamoja na mziki wa hip-hop.nimehudhuria Mara nyingi mno katika vilinge vya tamaduni Muzik pale msasani B club na pia pale micasa ya Riverside katika rap...
Kila mtu Ana NDOTO zake lakini sijui Ni kwasababu muda mdogo au tatizo tunakosa utayari mpaka tunashindwa kuyatimiza tunayotaka lakini kiuhalisia mengi yapo ndani ya uwezo wetu.
Tusaidiane jamani...
I'll prolly die anonymous
I'll prolly die with promises
I'll prolly die walkin' back home from the candy house
I'll prolly die 'cause these colors are standin' out
I'll prolly die because I ain't...
A guy in a bar, trying a new pick-up line, says to a girl, "Do you like raisins?"
She says, "No, sorry."
He then says, "Do you like nuts?"
She says, "No, sorry."
Finally he says, "How about a...
Mimi nawazaga Sana hivi unakuaje inafikia mpaka point macho yanafumba na husikii Tena na moyo kufungwa acheni jamani kifo Ni fumbo kubwa sana.
Wale wanaosema kuwa kufa Ni Kama usingizi wa ghafla...
Wife hapa home kamleta dogo mmoja kutoka Mwanza kwa Maelezo yake wife ni kwamba mahali alipokuwa amepanga alikuwa na rafiki yake ambae huyu dogo ndo mwanae...kwa hiyo kaomba aje akae hapa...
Asalaam aleikum. Kila siku kuna watumiaj wapya wa mitandao mbalimbali ya kijamii na internet kwa ujumla. Nichukue ukurasa huu tusaidiane kujua mitandao yenye faida kwa kila mpenda habar, maono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.