JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nilikua mjini katika pitapita nikakutana na jamaa anayepromote zao la vanila kwa kuwa Mimi nilikua sijawah kusikia kabisa habari za biashara za kilimo cha zao vanila Basi akili ikanipelekea...
5 Reactions
3 Replies
676 Views
Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule 1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa 2. Mmetembelea shule nyingine 3. Kuna wageni kutoka shule nyingine 4. Kuna mashindano ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Utafiti unaonyesha kuwa panya buku ndie kiumbe kinacho furaia tendo la kujamiiana kuliko viumbe vyote duniani,, Panya buku dume hutafuta maficho ambayo hakuna kelele wala vurugu ya aina yoyote...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
hongera kwa kutimiza miaka 50 tunazidi kukukumbuka kwa wema wako juu yetu hasa vijana unastahili pongezi kubwa sana
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Kila mtu anapambana na hakuna anayelala njaa Leo tujuane kwa kazi zetu zinazotuweka mjini.tuambie unapopatia posho Nikianza Na Mimi mwenyewe Ni mfanyabiashara wa grocery yaani Ni pamoto balaa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
WanaJf habari za Leo unajua enzi utoto wengi tumepitia katika maisha tofauti tofauti ebu wale tulikuwa wadokozi tukumbushane hapa unakumbuka nini na uliwahi kukamatwa na kupewa adhabu?
1 Reactions
7 Replies
790 Views
Habari ya asubuhi JF Family. Mnaendeleaje leo ninafuraha sana jmn kha!sio kwamba nimeongeza mwaka mpya tu..hapana ni kwa sababu nimeongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema na uzima pia.🙏Mungu...
22 Reactions
85 Replies
5K Views
Chama chetu cha wanaume wabahili Tanzania ( chawawa) Kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa Kesho kwetu sisi hakuna kitu kinachoitwa Valentine day . Bali tutashinda tukiabudu kanisani na...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Nmewaza sana asubuh hii... Hiv unajua sis wanaume ni watu wabaya sana. Tuka ya legalize kabisa yan..dah Uzi imeandikwa baada ya kupishana na Aliyekuwa Miss Tz mwaka flan hapa kwenye mataa ya St...
1 Reactions
0 Replies
466 Views
Tuanze na Samatta. Ni vile tu jamaa anahangaikia maisha. Zaidi anawakilisha nchi ndo maana tumeamua kukausha. Lakini ukweli jamaa ana miaka 34 na ushee. Waliocheza naye utotoni chandimu, hivi sasa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau? Husikeni na kichwa cha thread apo juu. Tuliomo humu wengi wetu au baadhi yetu hatukuwa kabisa na mpango wa kujiunga rasmi na JF ijapokuwa tulikuwa hatuifahamu au tunaifahamu na...
1 Reactions
7 Replies
625 Views
Siku moja kuna preacher mmoja alikuwa anatupatia vitu vitamu vitamu kama mnawavyojua hao jamaa hawakosagi vitu; Dah! Niliguswa pale aliposema; Mtu alikuuliza una miaka mingapi usimwambie miaka...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Tarehe hii inasomeka sawa kutoka kotekote, yaani kutoka kulia kwenda kushoto, na kutoka kushoto kwenda kulia. Huwa ni adimu sana kwa tarehe za namna hii kujitokeza
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Happy valentine watu wote. Ile itikadi ya kuwapelekea maua pekee bila zawadi imepitwa na wakati. Wanawake wa Tanzania kitu pekee kinachowafaa ni hela, Maua hayatatui shida zao
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site! Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo...
20 Reactions
151 Replies
7K Views
Naitwa linah namtafuta linus
5 Reactions
152 Replies
6K Views
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Mi nawazimikia sana wanawake kutoka South Afrika wana shepu flani hivi za kibantu, miguu imejaa jaa na Rangi Amaizing ya kung'aaa, Na wish watakuwa wako vizuri sana kwa bed, watakuwa na papuchi...
3 Reactions
9 Replies
771 Views
1.Single 2.Umeolewa/Umeoa 3.Sogea tukae 4.Taken 5.Hakuna anayekutaka 6.Towashi 7.Umetaliki/Talikiwa. 8.Mjane/Mgane
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom