Niliamua ku practice diet kama ilivyo kwetu wengi baada ya kusumbuliwa na kifriza kwa muda hivi. Aiseee! Nashuru sana ndani ya muda mchache nilipata matokeo chanya na hivi sasa nna kama nusu...
Kuna dada mmoja alipita mtaani akapewa samaki wa bure ghafla yule samaki akamkaba kooni ilibidi afanyiwe operation na ilimgharimu 40000. Anayekupa nguo za ndani bure hakupenda usimtangazie mtu...
Wakuu kuna kikao cha Dharura hapa nimekiitisha sisi kama wanaume bahili Tanzania tumeshtushwa Sana na hizi taarifa za ujio wa hiki chama tena kuja kwa Kasi ni hatari kwa chama chetu
Nia na...
KUTOKA FEBRUARY 16-2010-MPAKA FEBRUARY 16-2021
MIAKA KUMI NA MOJA(11) KATIKA MTANDAO BORA TANZANIA WA JAMII FORUMS.
Leo ni siku ambayo kwangu naiona kama siku ya kishujaa muno,Nasema hivyo...
Habari za wasaa Wana JF.
Leo nimeona niwaletee uzii wa kutoa nyongo, zilizosababishwa na ma boss makazini, familia, ndoa, wapenzi n.k
Kama wanasaikokojia wanavyoshauri, umuhimu wa kutoa yaliyo...
Hapa villa park Mwanza kuna gari ndogo ipo kwenye parking naona inatikisika yenyewe tu. Najaribu kuangalia kwa mbali kama kuna watu kwa ndani ili niweze kuwaokoa labda kuna tatizo. Gari ina tinted...
Anyway lakini poa tu.
Nimetoka kukata ticket hapa Morogoro nina safari ya Mwanza kesho. Ghafla nikawaza toka mwaka uanze sijakaa siti moja na pisi kali. Kila nikisafiri nakaa na mabroo tu...
Kila siku nikiamka natenda dhambi najisahau Sana nasema labda nikiwa mzee au nikikaribia kufa ntatubu na kuokoa maskini Mimi Leo hii nimekuwa mzinzi, mlevi, mchafu, mvivu, mbishi, muongo, eeh...
Salaaaam,
Jamani jamani mukiwashindwa badala ya kusema sijui nimemtafutia mchepuko mara nimemtimua mara nimemuacha kiaina basi muendelee tu na maisha yenu bila purukushani.
Na tena mutoe...
Habari wakuu
Napenda kumshukuru Mungu muweza yote kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine.
Pia niwashukuru wadau wote wa kilinge hiki kwa msaada wa kiushauri ambao mnaendelea kuutoa hasa...
Nakumbuka siku hiyo wakati ukitokea mlipuko wa mabomu maeneo ya Gongo la mboto, nilikua sinza, ghafla nikaanza kuona miale ya moto juu ya anga, binafsi nilihisi labda tayari kimenuka.
Naanza...
Kuna kijana kutoka kijijini alimaliza darasa la 12 na kufanikiwa kupata div IV. Alianza kilimo mpaka alipochoka kulima na kuamua kutafuta kibarua mjini. Kwa connection hapo alipofikia...
Habari za leo wakuu.
Wazee uchawi upo asee. Dah nipo home na wife nikasikia bonge la mjambo kubabeki sasa ishu kuanza kulalamikiana nani kajamba.
Amekimbia faster chumbani nikajua anakwepa harufu...
Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam.
Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba...
1. Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia.
2. Kuigiza kama unafanyiwa interview...
Uraibu(addiction) ni ile hali ya kukipenda kitu fulani kuliko hali ya kawaida ya binadamu na kuwa katika hali ya kutaka kukipata na kukitumia muda wote. Hali ya uraibu huwa hatari zaidi kwa afya...
Nina 500 Tzs tu tatizo sio kuwa na hii 500 tu hii ni normal conditions.
Tatizo linapokuja hii ndio ya chai asubui alafu hiihii nataka nijiunge MB za 500 nifanye kitu cha muhimu.
Namekoma kuzaliwa.
Habari Wakuu,
Katika kupita pita na kujadili Mambo,Nimekutana na jamaa ananambia Pesa sio kila kitu katika kuleta furaha ya kweli ya nafsi maishani.
Usemi huu ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.