Dah....Bro Sam
Miaka zaidi ya 6200 tokea shem Delly alivyokusaliti. Bro hivi ilikuwaje hadi ukatoa PIN?
Hata hivyo kifo chako kimetupa funzo kubwa sana mabaharia...Tuko makini sana na mashem zako...
Nimefanya utafiti wangu nimegundua sisi wapare (vaathu) tunaakili Sana za darasani kuliko wachaga. Katika historia yangu ya elimu sijawahi kupitwa na mchaga kamwe.
Pia sisi wapare ni Kati ya...
March 16th, 2011
Want to see something lavish being filthy rich can have and do, then scroll down.
Warning: Be prepared to be shocked and amazed!
At the same time the Greedy Regime has...
Kiukweli Askari wetu wa barabarani wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana. Jua wao Mvua wao.
Leo nliamua nitoke kidogo niangalie hali ya Ugonjwa wa Corona Dsm. Kampuni yetu imenzisha program ya...
Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA
Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss...
Kuelekea siku kuu ya wapendanao wiki hii, mademu wengi sasa wamekuwa wanyonge. Yaani wengi wao wamekuwa wapole haswa wale wasio na boyfriends, walio wengi kwa sasa wanaokotwa tu kama kuku walio na...
Hili ni tukio la kweli kabisa.
Sehemu / Nyumba ninayoishi ni self contained vyumba viwili na public washroom/lavatory.
Sasa kuna siku mwaka jana nimekaa zangu nacheki TV nikabanwa na mkojo so...
Wakuu huyu bwana wa kujiita kiduku lilo ni muongo namba moja humu JF Yeye kila siku anaenda ulaya,anamiliki Range R, BMW, Ford etc but kiukweli ni maskini wa kutupwa,hizi ni baadhi ya thread zake...
Amani iwe kwenu! nimewamis sana wakongwe wenzangu. Nawasalimieni kwa hisani ya Corona. Naamini Mwenyezi Mungu atatuvusha kama ambavyo amekuwa akituvusha miaka yote. Nimekumbuka mapishi ya bibie...
Habari za wakati huu wajuvi wa mambo, ndugu yenu nimekuja hapa kuomba Msaada wenu.
Ninaishi Dar es salaam, Niko na Mpenzi wangu ambae tuko mwanzoni kabisa mwa mahusiano, Si mtu wa uchumi wa chini...
Wakati wa Uvamizi wa Benkii nchini fulaniii majambazi waliwaambia kwa sauti watu waliopo Mule benki "Musisogeee hata kidogo maana Pesa ni mali za serikali ila uhai wako ni ni mali yako "
Basi...
Habari!
Leo nimekutana na jambo la kushangaza na kusikitisha sana.
Kasumba ya wanawake kuwa walevi kupita kiasi hadi jamii tunaanza kushangaa na kupigwa na butwaa!
Nilikuwa maeneo kama...
1. Sio mbaya nikiwashukuru wale wote ambao tumefahamiana kupitia jf...
2. Najua wapo nilio wakwaza na pengine nikiwaudhi zaidi, kwa heshima na taadhima nawaomba radhi kwa dhati...
Bhing'hwe, mwo misha mola?
Weekend hii nipo Mwanza, kabla sijachomoka jumatatu asubuhi na bundi wa Chato.
Sii mbaya nikikutana na mwana JF hata mmoja, akiwa wa ile jinsia pendwa itakuwa poa...
Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:
BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni...
Nyie watu rudini basi jf nawamiss jamani hasa Iceman 3D namiss comment zake,ucheshi wake,Pia Neybright Ruud basi mama umrudishe na huyo kidume
Jomonii plzzzz hata mara moja moja Tu.pia natumaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.