Je ulipo kua huko shuleni ama hapo ulipo umeshawahi kuwa na cheo gani?
Na ulikua unapata faida gani?
Maana wengine walikuaga viongozi lakini walikua hawajui nini chakufanya
Embu sema ulikua na...
Habari za mida hii ndugu zanguni kama kawa kama dawa, tupo tunalisongesha gurudumu la maisha na tupeane pole kwa Corona ila tujikinge na tuwakinge wengine.
Basi baada ya hayo tuamie kwenye maada...
1.Tunakukumbuka - king crazy GK
2.I'll be missing you - bad boy entainment f. Faith Evans (mase)
3.swahiba- Jebby f. Afande sele
4.life goes on - Tupac
5. I miss you aaliay - missy elioty...
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu,
Kuku wa jirani Yangu amepotea sasa jirani yangu huyu yeye badala ya kuniuliza kasafiri Kimya Kimya kwenda Sumbawanga sasa Matatizo huwayanatatuliwa hivyo Jamani...
January ishaanza kufika ukingoni na saa tunasubiri ujira ambao ni haki yetu ya msingi. Najua kuna simbanking na internet banking lakini utamaduni wetu wa kupeana updates tuuendeleze.
Ukiuona...
Habari.
Na imani wote ni wazima wa afya!
Karibu tuzungumze na kuweka matukio (Scenario) ambazo zinauwezekano mdogo kutokea(Probability yake ndogo kabisa) na kama ikatokea basi nini kitafanyika...
Mimi Dar mara ya kwanza nilifika wakati naanza chuo. Sasa toka zamani nimekuwa nikiisoma Coco beach. Yale magazeti ya Sani na Bongo yalinijengea picha kuwa Coco beach ni sehemu moja babkubwa sana...
Namshukuru Mungu kwa afya leo nimetimiza miak 34 tangu nizaliwe. Nawashukuru wazazi pia kwa kunilea na kila kitu toka kwao.
Maisha yangu bado napambana. Hapa nilipo sina
Nyumba, mke wala gari...
Naaanza Mimi
Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo 😀😀😀😀😀😀...
Wazee
Majuzi kati nimeenda hapa home kwa wazazi .
Sasa nimesajiri line mpya juzi tu nikaona ngoja nimjaribu huyu mzee.
Nikaandika text kwenda kwake.
"Vipi ile hela naisubiri me Suzy"
Nikaona tu...
well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100...
Kwenye jukwaa letu pendwa kila mtu amekumbana na mikasa majanga na vituko mbalimbali ambavyo haviwezi kumtoka kwenye mind yake, mi naanza na hivi:
1. Sitosahau siku najiunga jf niliambiwa na...
Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza.
Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni...
Hakuna kitu kinatisha kama ndege inapoanza kupaa aisee.
Yaani unaona tu majengo yalee kama viberiti.
Nakumbuka kuna safari niliwahi kukacha kurudi na ndege nikapanda basi.
Ile kitu acha tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.