Merry Christmas and happy new year
Katika maisha kama binadamu tunapitia mengi na changamoto nyingi sana kwangu mimi nimewai pigwa fixi na bint niliyekuwa na mahusiano nae kuwa amebeba ujauzito...
Msemo wa "ameingia cha kike" itakua unawahusu Sana wanaume kuingia cha "kike" kuliko wanawake kuingia cha kike.
Utafiti nilifanya, nimegundua, huko wanakoingia ni CHOONI.
Sasa sijajua iwapo...
Ukipewa adhabu jeshini unalazimishwa kuimba huu winbo.
Hivi hauna vifungu vinavyoendelea ina maana ni ni huo tuu!
Naomba mwenye winbo wote aniwekee hapa nautafuta sana
Cruti ni mdudu." Hana haki kbhxa Wala hakili timamu hana , ndio kauli iliyotawala kipind niko kamb flani Ivi JKT " daah maisha yalikuwa ni magumu sana.."[emoji19]
Wiki 6 sijui nini maana ya...
*******************************
NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
NAKUA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko...
Huu uzi ni maalum kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa chama hiki kikongwe hapa nchini. Lengo la kufanya hivi ni baada ya kuona mpasuko wa kichama baada ya kuwa na watu wawili wanaojitangaza kuwa wao...
Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location
Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani...
Tangu huu mwaka uanze nadhani hakuna siku niliyocheka kama leo aisee.
Sijui ni kweli au uongo, lakini hawa jamaa wana mashudu kichwani.
Hivi kweli unampaje nyani bunduki ya AK-47 ambayo iko loaded...
Eti je, unamkumbuka mwalimu wako wa darasa kuanzia la kwanza mpaka ulipo maliza shule? Je,unakumbuka wimbo wa shule ya msingi uliposomea?
Je, ni tukio gani huji kulisahau kamwe katika maisha yako...
Salaam kwenu nyote wana JF..
Natumaini mpo bukhery wa afya na poleni na mishughuliko hasa katika kipindi hiki cha pilika pilika za mwisho wa mwaka.
Najua kila mmoja Kwa namna yake amepitia...
Wakuu,
Maisha yamekuwa magumu sana, sio kwa wazee sio kwa vijana ni kila sehemu mambo yamebana
Zifuatazo ni dalili zinazoashiria kuwa umeanza kupigika kimaisha
1. Ukiingia chooni unajisahau...
Ni kitu gani katika maisha yako uliwahi kukifurahia kabla lakini ukaja kukuta sivyo kabisa na matarajio kiasi cha kukukata stimu kabisa.
Mfano mimi kipindi tunasoma boarding nakumbuka ilikuwa...
Ushawahi kujiuliza hata siku moja kwanini hivi vitu vinatokea? Nahisi vingine vishawahi kukutokea na vinaendelea kukutokea, unahisi ni nini, lazima kutakuwa kuna power fulani inaexist kwenye...
It's a beautiful Sunday and what better way to relax than with the company of some beautiful music.
So with that in mind, dedicate nyimbo kwa mwanaJF yoyote unaemkubali, imburudishe Jumapili hii.