JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tumelala polisi baada ya jana usiku mida ya saa nane usiku tulikuwa kwenye bar jilani na mitaa ya nyumbani wakati tumo ndani kuna jamaa akaja kututonya kwamba kuna difenda nje walio kuwepo inje...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Heri ya sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya! Hivi kuna ukaribu upi wa hizi mvua zinazonyesha siku ya sikukuu ya Christmas? Hata kama kuna jua kali kupika kiasi au hali ya ukame ila ikifika Tarehe...
0 Reactions
3 Replies
831 Views
1.Mademu. 2.Mitungi. 3. Pesa. 4.Technology.
0 Reactions
8 Replies
800 Views
Habarin Wadau, kufuatia ukuwaji wa sayansi na teknolojia ktk sekta ya mawasiliano kumepelekea ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii including JF. Mitandao ya kijamii ni platform kukutana...
9 Reactions
503 Replies
23K Views
Twende kwenye mada Moderator naomba huu uzi umsiiunganishe na uzi ule wamwanzo Issue iliyomkuta kijana mwenzetu mpambanaji Mr kuku kiukweli alijipanga Sana kuakikisha anafikia malengo yake...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni baada ya Jana kukataa mizinga kama mitatu hivi. Basi mademu wote wamenisusa,[emoji3] Wamekwenda kwa wenzangu wenye nazo. Hapa napata zangu ubwabwa kwa mgahawa nkalale. #Vijana tafuteni pesa...
1 Reactions
19 Replies
914 Views
Heri ya sikukuu ya christmass na poleni kwa majukumu Naanza kwa kusema hivi ni kwanini mwanamke akiona ela na akiwa anaiangalia macho yake huwa yana ng'aa sana na yana simama kwa sekunde kadhaa...
0 Reactions
3 Replies
678 Views
Tunateseka sana wanaume unakuta mdada anatembea harakaharaka huku anakatika makusudi kabisa hii sio sawa. Tembeeni kwa wastani msinyumbulike sana, yani kule sio kutembea ni kukatika kiuno...
0 Reactions
12 Replies
891 Views
Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Habari zenu wadau,samahani sana naomba kujuzwa kwa wale wanaofanya kazi TPDC au hata wasiofanya kazi huko lakini huenda wakawa wanafahamu huu mshahara wa ( TPDC Scheme of service in the salary...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani eeeh kwanza habarini za muda huu kiukweli tangu nianze kuujua na kuula wali aise hakuna kitu nakikubali kama ukoko, Narudia tena kwa msisitizo hakuna kitu nakikubali kama ukoko sijajua kama...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Dah! Nimekuja mkoa hapa nilifika jana. Nmefkia lodge kwa babu ntaenda kesho. Nakula maisha kwanza Maana nmeambiwa kijijni kumefurika huko, mi ntaingia keshoo Hapa nampanga binamu. Kwanza huyu...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwa uchumi wa kati huu wa Magufuli. Bila kupoteza muda nimeamua kubudget pesa ya sikukuu mapema kabla shetani hajaingilia kati kupitia kichwa cha chini. Pesa ni elfu kumi na mbili tu...
13 Reactions
51 Replies
5K Views
Mods please msifute Binadamu akiwa utupu kabisa anatisha sana....yaani huwezi kumtamani kumuangalia wala kumtamani... Ila akivaa nusu utupu....anatokelezea sana,anashawishi kuendelea kumuan...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani uko kwenye shughuli ukumbini alafu wewe ndio dj wa shughuli ile shughuli inaanza ndo unagundua ex wako mlioachana ndio bwana/bibi harusi je?nyimbo utakazo piga ni hizo hizi kama...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wanasemaga kuishi ni Mara moja tu. Sasa why nijinyime? Nimeuza kiwanja cha urithi cha baba ila bado Niko kwetu ,tutabanana hapo apo kwetu tu.. Hii pesa myzangu mje mnidange xmass kesho kutwa ...
2 Reactions
18 Replies
812 Views
Vigezo na mashart kuzingatiwa Thread lazima iwe kati ya 1dec 2020 mpaka 1.1.21 Jukwaa lolote Yenye views weng Yenye likes nyings Yenye pages nying Yenye comment nying Ni ipi??? Muda...
0 Reactions
3 Replies
478 Views
Wakuu baada ya kuuza kiwanja Wadada wamenidangia pesa zote za kiwanja cha urithi..yaani nimeuza Jana tu Saivi nimebaki na 600 ...! Xmas usinifanyie hivyoo jamani ntakula wapi sasa ...? Lakini...
0 Reactions
14 Replies
605 Views
Back
Top Bottom