JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekuwa ndugu yenu humu ndani kwa mda sasa.Najivunia kuwa Miongoni mwa active member hapa jukwaani. Lakini kukaa kwangu kote huku sijajua kabsa namna ya kutag,nyuzi na member kama wafanyavyo kina...
2 Reactions
6 Replies
906 Views
Hapo vip!! Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia . Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo. Mara wakaagiza msosi na juice,baada...
1 Reactions
9 Replies
911 Views
Wadau karibuni tutupie vioja kuhusu ''Kama Huna Pesa Challenge''
2 Reactions
4 Replies
454 Views
Mwanamke wa kitanzania akishabeba mimba inaitaji uvumilivu mkubwa sana yaan mnaweza kushinda mchana kutwa mnacheka ila ikifika saa 8 usiku utasikia MY EBU AMKA KWANZA UNISINDIKIZE SHELI NIKANUSE...
1 Reactions
1 Replies
723 Views
Nilipata msiba wa Baba yangu ambae alikuwa mstaafu na mteja mkubwa wa NMB Kuna manager wa Tawi moja la NMB naona kabisa analeta habari za kitapeli kwenye Hela za pole (FARAJA )ambazo utolewa pale...
3 Reactions
20 Replies
37K Views
Ni anko nani unamkumbuka? Mimi sikumbuki anko yoyote. Ni anti gani unamkumbuka? Hakika namkumbuka Anti Edita. 😀
1 Reactions
4 Replies
984 Views
Ule msemo wa Mwaka mpya na mambo umekuwa kivitendo zaidi kwangu kwa huu mwaka, Namshukuru mwenyezi mungu kwa kubariki juhudi zangu na sasa nimefanikiwa kununua kagari kangu(Carina Ti) nikiwa nina...
16 Reactions
91 Replies
11K Views
Kuna watu humu either kutokana na id yake au post na comment zake unaweza kuwavutia taswira kuwa ni watu wa rika/umri flani na muonekano flani hiv. Je, ni nani unaweza kukadiria umri/muonekano...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
De la boss mobimba lemutuz kimya sana mkuuu jamiii forum TUMEKUMIS SANA hakika wew ni AKILI kubwaaaa. Rudi utoe madini kwa vijana
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wana JamiiForums wanaoishi Unguja, Zanzibar. Ningependa kujua sehemu ambayo naweza kujifunza yoga na meditation. Asanteni
1 Reactions
4 Replies
979 Views
Kuna mahali huwa napata mlo mara kwa Mara. Nimezoeana na wahudumu wote. Tip huwa nawaachia mara zote. Ila kuna huyu mmoja akiwa zamu nakosa amani kabisa, Huduma ni mbovu halafu anaminyia...
0 Reactions
4 Replies
577 Views
Haya mambo bwana tushakuzoea Sana unajua tusemeni ukweli katika Watu wazuri Sana me naamini Mshana amesaidia Watu Wengi na ameathiri iman uelewa na akili za Wengi Sana na tunamkubali. Misimamo...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwenu Daudi Mchambuzi, Mrangi, Tindo, Salary slip, BAK, Chakaza, Mmawia Quinine, Molemo na Erythrocyte Nk....Nk. Ninawatakieni Christmas yenye baraka tele, kama kawaida mimi nitakuwa Useri kwa...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Kwema wana bodi. .. Tujuliane hali kwa kucomment mwaka uliomaliza na jina la bweni/ block/ na ziada. Mimi 2008, seuta, block G4 na G5
0 Reactions
8 Replies
762 Views
Tangia Taarifa ya Kifo chake itangazwe rasmi Jana na Watu kuanza kutoa Rambirambi ( Pole ) zao ama hakika kila ninaposikiliza Vipindi mbalimbali vya Redioni hata kama siyo vya Michezo nimegundua...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Je ni jambo gani linalotosha kumlipiza kisasi mwanamke aliyekusaliti..... A.Kumpa mimba B... Mengine endeleza..
2 Reactions
4 Replies
825 Views
ni kawaida yetu kubadili matumizi ya vitu! Chandarua tunafugia kuku Dawa ya meno tunapaka kidonda Mafuta ya transfoma tunapikia chips Gari ya wagonjwa tunapakiza mkaa Taja na kadhalika nyingine
2 Reactions
5 Replies
792 Views
Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini. Papa John na Mandela. Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Nafikiri Wana JF vijana karibia wengi Wana ma getto yao wamepanga na wengine wana nyumba zao wameshajenga. Sidhani kama bado kuna mwenzetu anayeishi kwao mpaka sasa hivi na anategemea alelewe...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom