Wasalaam,
Moja kwa moja kwenye mada, Kuna baadhi tabia ambazo huwa tunazifanya mbele za watu lakini Ni mbovu na zinakera!
Mfano
1. Mtu yupo bize anatembea anakula, may be kanunua Hindi la...
Ninapenda kula kiporo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.
Nimeshindwa pia kula kiporo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo...
Habari za mida Wadau.
Nategemea kwenda KWA jirani zetu siku chache kabla ya x-mass
Wasi wasi wangu ni juu ya vipimo vya Covid.
Je kuna mtu amesafiri kwenda huko hivi jaribuni snipe mrejesho...
Kwenye mada. Umewahi kutana au kusikia wabongo wakijisifu ujinga? Sijui ni kutojua au sijui ni nini? Mi nawakutaga wa hivi.
1. Mi mvivu sana kunywa dawa, yaani si malizagi kabisa. Wamenisema...
Mtu akiwa na vyake na ukataka uvitumie na wewe vyako vikitumiwa kaa kimya. Nikiwa na maana kwamba kama unamsema mtu kwa mwingine yaani unapeleka umbea basi na Wewe ukisemwa utulie msumari...
Nianze na utangulizi.
"Sredi" hii naileta kwenu ikiwa ni maalum kutoa challenge kwa mheshimiwa Mshana Jr, dhidi ya uzi wake aliyouleta hapa unaosoma kwa headin, "Kuvaa chupi ya mpenzi wako si...
Kwa ajili ya kuombeana, kuomba kwa ajili ya Watu wote kuombea taifa, kuombea watakatifu na kujiombea sisi wenyewe ili tusije kuachwa katika safari hii ambayo tumesikia kuwa wateule Ni wachache...
Hii option kiukweli natamani ingekua inafanya kazi yake. Ili nikimfollow member humu niweze kupata notification kwa anacho andika.
Kiukweli kuna member wanaandika vitu fact kabisa tena sana, Hasa...
Kitendawili!!!!!
Ni mweupe Kama Barafu, Na Ni mweuc Kama Giza, Kuliwa Ni Haramu na ana manyoya mengi mwilini. Jina lake lina herufi (5) Na linaanzia Na Herufi (X). Wanaume huonana nae mara 3...
Usipocheka unaumwa sio bure au Ni senior kauzu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Kuna siku nilitembelewa na rafiki pale nyumbani, basi kama wazee tukaona sio mbaya tukikaa nje pembeni kidogo ya nyuma palikua na mti mkubwa uliofanya kivuli safi kabisa.
Nilimuita yuke kijana...
Kula katika sahani moja kulijenga upendo na uaminifu. Mtu unaekula nae sahani moja kila siku ni rahisi kumkukumbuka ukaribu wenu mmoja ajipata matatizo.
Leo hata vijijini mtaoakuliwa kila mtu...
Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..😊😊wengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu...
SIKU YA KWANZA
Mimi: Oya inakuwaje? Mbona leo umechelewa hivyo?
Anita: Usafiri ulikuwa shida kweli yaani, nilisubiri gari mpaka nikakoma, yalikuwa yakipita tu.
Mimi: Pole sana, kwa hiyo...
1. Daladala nyingi za Dar, taa za kulia huwa ni full light tu.
2. Makonda wa daladala karibu route zote isipokuwa Posta-Mwenge ni wachafu sana
3. Madereva wengi hutumia pombe kali, hasa K-Vant
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.