Wanazengo Embu tulieni kwanza
Kuna siku nimekosa kula tunda kwasababu yakitete kitete kibaya jamani yani nilionekana kituko Haaaa Yani kuingia kwenye 18 tu mapigo ya Moyo yanakwenda kasi Kama TK...
Kama una chemsha bongo yoyote ile iwe kwa mtindo wa maandishi au picha,,tupia hapa..tuchangamshe bongo zetu
1.nani kaketi kwenye sofa hapo kati ya mkaka na mdada
Nakumbuka tulikuwa tunaruka fensi ya hospitali kwenda kuokota mipira iliyotumika (catheter) maarufu kama tekenya, mipira hiyo ilitumika kutengenezea manati ambayo inavutika sana na kulenga umbali...
Binafsi na ukubwa wangu huu, nimeoa na nina familia, naishi vizuri tu na jamii ila kuna katabia ka ajabu sana ninako na ni siri yangu tu hakuna anaejua.
Niingiapo bafuni huwa nageuka kama mtoto...
Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu...
Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer?
===
Utakuwa unakumbuka midahala enzi za shule, moja kati ya mada kubwa ambayo watu wengi waliwahi kujadili katika maisha ya shule ni...
Simu yangu ya kwanza kutumia ya smart nilinunuliwa zawadi kwenye Siku yangu ya kuzaliwa. Sasa nilikuwa sijui baadhi ya apps huzikuti mpaka u-download mfano:whatsapp,insta n.k nikamtext mleta...
Hata kama baa inakesha...sibanduki kaunta ni mwendo wa kata chupa leta chupa...wanakuwa na keep change nyingi sana wale....
Sio unasubiria mhudum wa kawaida kazi kukupiga mizinga tu
Uzi tayari
Nimesafiri kuja Dodoma kwenye semina kutokea Daslam Sasa na mvua hizi kulala pekeangu naona Kama tabu vile naomba wadada wa Dom mnitunuku japo usiku wa Leo maana nimemtafuta Zero IQ naona hasomeki...
Habari wadau!
Najua wengi humu tumepitia life la shule za boarding,je ni moment zipi hauwezi kuzisahau hususa boarding za gavo au hata private??
Binafsi nimepitia maisha ya boarding za serikali...
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi. Meno yako ni kama kondoo...
Swali hili nililoulizwa na mwanangu Justine wa miaka 4 limeniacha mdomo wazi na nimeshikwa na kigugumizi.
BABA MBONA MAMA KAJAA TUMBO?
Wewe ungejibuje hebu tusaidiane wakulungwa.
Kulishwa chakula na mtu mweusi , haswa mwenye ngozi iliyosinyaa(Mzee).😀 Hapo natema pupupupu!.
Kuitwa jina la mtu mjinga/kichaa/au yoyote nisiyempenda kwa alivyo mfano unaitwa 'we kasoloboi'...
2020 ulikua ni mwaka wenye majaribu mengi sana. Kiuchumi huu mwaka umechapa sana, wakazi wa Arusha, Bagamoyo na Zanzibar wanaweza toa ushuhuda.
Nililojifunza mwaka huu kumbe mask kwa kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.