Wakuu ona Mimi nikiwa kijiweni kwetu stori zangu nyingi huwa Ni za kutoka JF.Nawaambiaga masela kuwa Mimi nafahamika Sana jf.ona nawaambia kila member kutoka sehem mbalimbali ndani na nje ya nchi...
Unaponiona busy na simu jua Jonii nipo JamiiForums amini kwamba hamna kitu kizuri kwangu Kama JamiiForums na sina uadui na yeyote kuanzia Genta mpaka Mayala wote nawachukulia kama ma braza zangu...
WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI?
Habari wadau.
Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la...
Wana chitchat, kumekuwa na Kama tabia fulani hivi ya makabila fulani kupenda kuishi maeneo fulani kwa wingi hapa Dar mfano ni Kimara, Kiluvya, Ubungo wengi wao ni 'Wachagga'. Kitunda wengi...
Kila mtu ajiandikishe kwenye chama chake hapa hakuna kwenda kwenye chama cha mwenzako na ni lazima kuwa mzalendo
(A) BACHELA
(B) MJANE
(C) SINGLE MAZA
(D) MENGINEYO (matatizo binafsi)
(E) SINGLE...
Yewomi eeeeh, yewomi eeeeh, yewomi eeeeh Christmas cha mshikha. Wachaga tutafute hela aisee muda wa kurudi kwetu umefika, nyama choma na bia lazima viwepo.
Baada ya kukaa na house boy kwa miaka 10 bila shida. Baba mwenye nyumba akaamua kumzawadi house boy, lakini alitaka ushauri kutoka kwa mkewe.
Mume: Tumpe zawadi gani?
Mke: Tumtahiri!!!
🥱🥱🥱🥱🥱
Wakuu Kama mnavojua wanaume tupo na msisimko muda wowote iwe asubuhi,iwe kanisan,iwe popote hisia zipo karibu Sana.Sasa Mimi Leo na haka kamvua Hali ya hewa inaridhisha na kuruhusu ndo Sasa...
Kuna maajabu gani kwenye miguu siku hizi wengine mnatuwasha oblongata zetu tunaanza kufikiria madudu fulani yanaitwa footjob.miguu yenyewe mitamu mitamu yote tutakuja kuila shauri zenu.
Tunafeli wapi mpaka sasa hivi hatujafanikiwa hata kutia binti wa Watu ujauzito. Tuweni serious jamani tuache kutoa mbegu kwa mkono tuzipeleke sehemu sahihi na sisi tuitwe baba
Salaam wapendwa. Moja kwa moja kwenye mada.
Wadada mtuelewe wanaume, sio kama tunapenda kuchepuka au kuwa na wanawake wengi bali wengi wenu siku hizi mnatufanya tuchepuke au kuwa na wanawake...
rafiki na wapendwa wangu!leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Namshukuru sana MUUMBA kwa baraka na baraka tele alizonijalia na pumzi anazonijaalia toka nilipozaliwa mpaka sasa
HAKIKA SIFA NA...
Nipo Ofisi za Uhamiaji hapa, ninasubiri huduma ila mtandao unazingua hivyo huduma zimesimama.
Kuna watu wa kila rangi hapa, na wengi wanaongea lugha ya Malkia, ninapata hisia fulani kama vile...
Mimi haya kwangu ni maeneo ya hovyo ambayo siwezi kukaa
Mbagala
Kiwalani
Buza
Temeke
Vikindu
Vingunguti
Mwananyamala
Tandale
Magomeni
Manzese
Tabata ToT
Chang'ombe
Buguruni
Haya maeneo kwangu...
Mimi naamini humu ndani wote tumewahi kukutana na vibunda kwenye ma deal yetu makubwa yaani namaanisha mzigo wa maana milioni kwenda mbele kwa mara moja paap.
Maana humu Wengi Ni wafanyakazi...
Huyu mwanaJf mwenzetu kikulachochako Ana upeo mkubwa Sana Kama una shida na matatizo na unafikiri ungehitaji ushauri basi Ni vema ukamuona.hajanituma nimsemehe ila me huwa siwezi kuficha hisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.